kbd.......nisaidie mpenz maana nami nimeuliza the same but k9ina MTM wamenikaushia
sweetheart, mimi ni mwalimu mwema na lengo langu ni kuhakikisha watoto wanafaulu kwa maksi za juu sana
naomba nijitolee kukufundisha kwani utakua best student
usitie shaka kabisa
you have to fight for ur love......kama hajachukuliwa kihalali lakini
Mi nadhani baada maana kama bado hajawa wako atakuaje your love?? Kama yuko na mwingine basi unakua unataka kuiba someone elses love and make it yours!Lizzy hivi "Fight for your Love" ni kabla ya kua na mtu au baada? maan isijekua watu wanachanganya hii kitu hebu nisaidie hapa
sweetheart, mimi ni mwalimu mwema na lengo langu ni kuhakikisha watoto wanafaulu kwa maksi za juu sana
naomba nijitolee kukufundisha kwani utakua best student
usitie shaka kabisa
Hivi Maty ukiwa mtu unaumiza tu watu wewe hujawahi achwa unaweza kuwa mkosaji sana ee au ni ndio unajua kuchanga karata zako? nimependa the way unavyoishi maisha yako yaani raha ajabu ukiwa na hiyo kanuni aisee hupati presha hata siku moja
hii "your love" si imetokana na "my love to some one is ...." ndo maana mi ntakwambia "Fight for your love"Mi nadhani baada maana kama bado hajawa wako atakuaje "your love"?? Kama yuko na mwingine basi unakua unataka kuiba someone else‘s love and make it yours!
Lizzy ninaomba nitofautiane na wewe hapa................. kama hajafunga kitanzi kwa maana ya kufunga ndoa takatifu....nina haki ya kujaribu bahati yangu ..........Mi nadhani baada maana kama bado hajawa wako atakuaje your love?? Kama yuko na mwingine basi unakua unataka kuiba someone elses love and make it yours!
Tatizo huo ulio wazi hauvutii kwetu kwa namna tutakayo............na uliofungwa bado unatoa dalili za kutaka kufungukaJamani vitu vingine km uwezekano wa kuvipata ni mdogo bora kuachana navyo!..tumekua too rigid kungangania mlango ulofungwa ilihali iliyowazi hatuioni!
hahahaaaaaaaaaaaaaaa... lost in translation!!!Unifundishe kuchakachua mapenzi???? Huu ufisadi huu utatumaliza jamani, yaani mpaka kwenye mapenzi.....kha.........tutaponea wapi jamani
... i told you, kuna steps ulivuka ukabisha, ona sasa unanifanya nionekane bad teacherMi nadhani baada maana kama bado hajawa wako atakuaje "your love"?? Kama yuko na mwingine basi unakua unataka kuiba someone else‘s love and make it yours!
your love yakupigania ni ile nafasi ya kujiexpress and not the actual feeling a person has!Sasa kama kuna mwenzako ambae tayari anajiexpress pale na wewe unaitaka hiyo nafasi then utakua unataka kumnyanganganya!hii "your love" si imetokana na "my love to some one is ...." ndo maana mi ntakwambia "Fight for your love"
nnunu umenikumbusha swali ambalo sometimes linanisumbua sana ............can any one tell me the feeling of being in love? Unajuaje uko in love na sio tamaa?
Na haiwezi kutokea ukawa unaumiza tu wewe hujawahi umizwa mpenzi labda uwe na miaka chini ya 20. Unajua nilikuja gundua binadamu huwa tunalaumu sana asee bila kuchunguza kwa umakini. Mimi nilishawahi achwa na mtu yes alikua anamakosa lakini na mimi nilichangia pia sasa nilichofanya ni kumlaumu tuuuuuuuuuu kanitenda kanitenda wala sikutaka kujiuliza ilikuwaje kuwaje nikatendwa. Nikawa namchukia nakumombea mabaya kila siku.
Siku niliyokuja kukaa chini na kujiuliza hivi ilikuwaje kuwaje? ndio nikagundua mimi na yeye wote tuna makosa nikamsamehe na kuendelea na maisha yangu lol toka hapo naishi kwa amani isiyo mfano rohoni na moyoni.
Tusiwe tunalaumu saaaaaaana katika mahusiano lazima kila mtu amechangia hiyo hali hapo
1. Inawezekana ulikuwa unaona kabisa hakupendi bali ulikuwa unalazimisha au
2. Ulitibua na wewe mahala ukasababisha yatokee yaliyotokea
(TENDA YALE UNAYOPENDA KUTENDEWA NA MWENZIO/WENZIO)
Lizzy ninaomba nitofautiane na wewe hapa................. kama hajafunga kitanzi kwa maana ya kufundandoa takatifu....nina haki ya kujaribu bahati yangu
Kwa sababu kama alivyosema Asprin na MTM ina wezekana kabisa naye anakupenda lakini kwa kuwa hujamweleza hajui kama atapata the same feelings.
utajisikiaje utakapomwachia aoe/olewe na mwingine and only tp find out kuwa amemuoa for other reasons than love??
I still think it if important to let him/her know how you feel about him/her......kama hafeel the same its ok but at least you have tried[/QUOTE]
Hahahaha MJ1 umenifurahisha sana hapa lol
Mi nadhani mwanaume ndio anatakiwa amfuate mwanamke au? Maana wenzetu ndio wamepewa huo uwezo na kwa ninavyowajua hawanaga aibu hata akijaribu kutongoza mwanamke akamkosa poa tu. Sasa kama yeye hajaweza kukufuata anakupenda kweli huyo my dear? jiulize mara mbili mbili
ukichunguza sana utagundua wanacheat.Mbona watu wanaota vitambi na wanawake minyama uzembe kama ndio hivo?
hahahaaaaaaaaaaaaaaa... lost in translation!!!
yani wewe unadhani hii topic ni ya kuchakachua mapenzi?? si ungewaona wahusika?? mama yangu weee... hii ni shule tu muulize kamanda au lizzy, we dont teach to cheat out, we teach to reach out...
kalagabaho
Nami nimaamini the same maty but ah.....sometimes bwana yapaswa ufunge kibwebwe maana unawezakuta mkaka mwenyewe naye ni "mzito" so ukizubaa utakosa mwana na maji moto....kuna lugha nyingi za mtoto wa kike anazowezatumia bila kutamka neno nakupenda kwa mwanaume...maadili ni vyema yakazingatiwaLizzy ninaomba nitofautiane na wewe hapa................. kama hajafunga kitanzi kwa maana ya kufundandoa takatifu....nina haki ya kujaribu bahati yangu
Kwa sababu kama alivyosema Asprin na MTM ina wezekana kabisa naye anakupenda lakini kwa kuwa hujamweleza hajui kama atapata the same feelings.
utajisikiaje utakapomwachia aoe/olewe na mwingine and only tp find out kuwa amemuoa for other reasons than love??
I still think it if important to let him/her know how you feel about him/her......kama hafeel the same its ok but at least you have tried[/QUOTE]
Hahahaha MJ1 umenifurahisha sana hapa lol
Mi nadhani mwanaume ndio anatakiwa amfuate mwanamke au? Maana wenzetu ndio wamepewa huo uwezo na kwa ninavyowajua hawanaga aibu hata akijaribu kutongoza mwanamke akamkosa poa tu. Sasa kama yeye hajaweza kukufuata anakupenda kweli huyo my dear? jiulize mara mbili mbili
Nami nimaamini the same maty but ah.....sometimes bwana yapaswa ufunge kibwebwe maana unawezakuta mkaka mwenyewe naye ni "mzito" so ukizubaa utakosa mwana na maji moto....kuna lugha nyingi za mtoto wa kike anazowezatumia bila kutamka neno nakupenda kwa mwanaume...maadili ni vyema yakazingatiwa
Labda sijakuelewa kidogo unaemzungumzia hapa ni yule ambae alishawahi kuwa mpenzi wako au mwingine mpya inatokea ndio umemdondokea?