klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe kiongozi leo sina hela ya kwenda pub, nimejikuta niko serious kweli.Kiongozi naaona unaanzisha darasa ngoja nikae siti ya mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe kiongozi leo sina hela ya kwenda pub, nimejikuta niko serious kweli.Kiongozi naaona unaanzisha darasa ngoja nikae siti ya mbele
Kwanza: lazima tukubali kwamba Love is a two way traffic, itakuwa unajidanganya kusema kwamba utapenda bila kuweza kuangalia upande wa mwenza wako.
Pili: kuna kitu human nature ambacho huwezi kukiepuka katika kuleta analysis ya kila linalomuhusu binadamu, nakusudia kusema kwamba ni maumbile ya binadamu kubadilika kila anapokuwa juu, ni wachache sana ambao wanabakia na tabia zao sawa wakiwa juu na wakiwa chini kimaisha,kicheo,kihadhi n.k.
Tatu: Hivi hauwezi kumpenda mtu mpaka umuoneshe kwamba yeye ndio kila kitu chako? yaani hakuna tena uhai/furaha/bashasha kama atakuacha?
CONCLUSION:
Mimi nampenda ninaempenda 100% kabisa na anaelewa hilo lakini at the same time anajua kwamba leo hii akiboronda basi kesho niko sokoni kutafuta mwari mpya, so she loves me back.
Kubadilika kwa mtu sometime kunachangiwa na udhaifu wa kibinadamu sometime, hata mimi nikiona mdada unajigaragaza sana kwangu nitajiskia matawi ya juu na nitaanza kiburi. Its a human nature.
ok naona hapa sasa kila mtu kajua maana ya kupenda,kupendwa,kutenda na kutendwa,haya sasa enendeni kwa Amani na mkayatende yale yoooote yaliyo mema katika kupendwa na kupenda na zaidi tukatende mema sio kutenda mabaya mwishowe tutendwe
Remember it begins with you.
"Anything can happen" niliokusudia ni ile ya expectation na sio ya beleive, hivi unajua sababu nyingi za suicide ni zile za "higher expectation failure", labda nifafanulie ni upi uhusiano wa "uoga" na "expectation"?.
Kwanza: lazima tukubali kwamba Love is a two way traffic, itakuwa unajidanganya kusema kwamba utapenda bila kuweza kuangalia upande wa mwenza wako.
Pili: kuna kitu human nature ambacho huwezi kukiepuka katika kuleta analysis ya kila linalomuhusu binadamu, nakusudia kusema kwamba ni maumbile ya binadamu kubadilika kila anapokuwa juu, ni wachache sana ambao wanabakia na tabia zao sawa wakiwa juu na wakiwa chini kimaisha,kicheo,kihadhi n.k.
Tatu: Hivi hauwezi kumpenda mtu mpaka umuoneshe kwamba yeye ndio kila kitu chako? yaani hakuna tena uhai/furaha/bashasha kama atakuacha?
CONCLUSION:
Mimi nampenda ninaempenda 100% kabisa na anaelewa hilo lakini at the same time anajua kwamba leo hii akiboronda basi kesho niko sokoni kutafuta mwari mpya, so she loves me back.
Kubadilika kwa mtu sometime kunachangiwa na udhaifu wa kibinadamu sometime, hata mimi nikiona mdada unajigaragaza sana kwangu nitajiskia matawi ya juu na nitaanza kiburi. Its a human nature.
hapo red ndio utata wenyewe sasa! lets say umefanya responsibilities zako, umeonesha true love reality and not feelings (as u said), lakini at the end of the day ukweli unabaki kwamba u can guarantee your own self lakini hauwezi kuguarantee the other side. Sasa in this case, ndio nasisitiza kwamba give it a go but make sure u balance it well.Asante kwa analysis nzuri. Hayo uliyoandika ni ya kweli kabisa..Love becomes a two-way traffic pale mnapokubaliana nyie wawili kwamba mtapendana.
Unajua upendo wa kweli ni ule wa KUAMUA kuliko ule wa 'kujisikia'..Upendo ule wa kujisikia ndo mara nyingi ule unaoweza kusababisha mtu kukiri kushindwa kuishi bila ya mwingine.
Mie kwa mawazo yangu, ukimpenda mtu, uondee mawazo ya 'feelings', weka 'reality' and decide to love that 'someone'..Inapendeza kama na yeye anaamua kufanya hivyo.
So, love is a 'responsibility thing'. Kama unajitahidi ku-show love na yeye hawezi ku-respond, then unajumlisha tu, moja na moja ni mbili, unaangalia usawa wa kweli.
Pia ni ukweli usiopingika kwamba mtu ni muhimu ajisikie 'anapendwa'..Muoneshe kwamba unampenda, na yeye akuoneshe anakupenda ( hapo mnaweza kuji-declare ninyi ni wapenzi)
labda nifafanulie ni upi uhusiano wa "uoga" na "expectation"?.
hapo red ndio utata wenyewe sasa! lets say umefanya responsibilities zako, umeonesha true love reality and not feelings (as u said), lakini at the end of the day ukweli unabaki kwamba u can guarantee your own self lakini hauwezi kuguarantee the other side. Sasa in this case, ndio nasisitiza kwamba give it a go but make sure u balance it well.
BTW: Which is better? to give it all and become an unnecessary victim? or balance it and save it for the lifetime? cuz trust me if u balance it there will be no fooling around,
The choice is very yours.
Kbd nazani mnanisoma wrong!Kloro dia............hapo ndio penye shida, sasa kama mtu unampenda kwa nini usimuoneshe kuwa unampenda, what is wrong with tht? Mimi nadhani badala ya kupata kiburi mshukuru Mungu kwa ajili yake na wewe mpende the same na ikiwezekana ongeza upendo kwake. Mapenzi ya kweli ni ngumu kupatikana siku hizi na ukiyapata.......shikamana.
h
The choice is very yours.
Kbd nazani mnanisoma wrong!
mimi nakubaliana na wewe kabisa, Muoneshe mpenzi wako unavyompenda lakini at the same time muoneshe kwamba u r not that weak kwamba akiondoka yeye basi maisha yako ndio yamekwisha. Tukubaliane kwamba ni mapenzi ya kwenye maigizo tu ndio yanayowork kwa namna hiyo mnayotaka nyinyi, mapenzi ya kweli katika real life ni lazima yatambue mipaka na limits ndio yaheshimike na kuheshimiwa.
Hizi ndio zinaitwa conditional love...masharti mengi kama IMF na WB..Sasa vile ulivompa ndio ulitaka viwaunge milele?unavuna ulichopanda.am sorry but this is the truth...We acha bana. Unampenda mtu wako ile mbaya
Umegharamikia, nyumba, usafiri umempa na biashara juu!
Unasafiri kwa kipindi kikazi unarudi mwanao mdogo anamuuliza eti mama yule baba mwingine atalala wapi leo!
Fikiria hii inakuaje! Malboro zangu begani narudi kwetu kwa mama yangu kuanza upyaaaaaaaaaaa!
Iliniuma sana sitosahau.
Nilijipa moyo bana kwani WHAT IS WRONG WITH FALLING DOWN! YOU CAN ALWAYS GET UP AND START AGAIN! Believe me nilishahau na nikaanza upya and today I have a happy family ila sitosahau!
Mie ninaamini love is a thing that grows. Haiwezekani ndani ya wiki moja uka-show love 100%. As time passes, ndivyo unavyoona quality za mwenzako, na kuamua kama unasuka ama unanyoa. TATIZO kubwa ni kupata 'genuine' love.
I must admit, it is so common, that love can be 'faked'..and you can have nothing to do about that. Hapo ndipo God comes into equation (kama unaamini ana-exist).
Hizi ndio zinaitwa conditional love...masharti mengi kama IMF na WB..Sasa vile ulivompa ndio ulitaka viwaunge milele?unavuna ulichopanda.am sorry but this is the truth...
Hizi ndio zinaitwa conditional love...masharti mengi kama IMF na WB..Sasa vile ulivompa ndio ulitaka viwaunge milele?unavuna ulichopanda.am sorry but this is the truth...
Kwa jinsi ulivyoandika ile post inelekea uchungu wako ni kwa kuwa ulimgharamia sana halafu kakuacha na sio kwamba ulimpenda sana. ...Na vile vile kumbuka kutoa ni moyo sio utajiri,,kuna watu wanakutana na machangu na wanawapa hizo nyumba(wengine kwa mapenzi ya kweli na wengine nipe nikupe).kuna swali lingine??I didnt mean things! Hii yote unaweza kumfnyia mtu ambaye wewe kwako its everything. Huwezi ukakutana na changu ukampa nyumba! Huwezi ukakutana na malaya leo tu ukamfungulia duka! Mke au hata mchumba unajaribu kumweka katika hali ambayo angalao she can feel what you feel to her! Ad one of is to give her some opportunity kama hizi. I dont get you unaposema navuna nilichopanda! Ilikuwa ni makosa kumpa vyote hivyo? Was it the pay back by bringing someone to my own house. Was she revenging? And if yes for what reason!
Hapa tunashare sweet and sore of this we call LOVING SOMEONE! And that was my experience!
Hahahaa...Fellow tablet kama utaenda na ile suti yako uliyopewa baada ya kushinda mbio za kufukuza kuku, usisahau kuniwekea pilau na ndizi mbivu kwa mfuko........sijala pilau tangu JK alipoaoishwa kuwa mbunge wa Chalinze.heheeh namimi acha nilog out, kuna mnuso sehem sehem. kuna njemba inatiwa kitanzi leo a.k.a ndoa. Tangu jana njemba inacheka tu kumbe haijui kwamba within 6 months itakuja kuanzisha sredi hapa hapa JF.
Kwa maslahi ya JF: mpaka sasa dawa ambayo imekuwa proved kutibu matatizo ya overweight kwa 100% success ni ndoa tu, hakuna jogging wala mjombaake diet. kulaleki!
baadae fellow tablet bana!
Dears
Am just asking
Have you ever love someone, I mean really love her/him............... only to face the truth that that person can not be with you because may be s/he is already taken/ belong to someone else?
How do you deattach yourself with that feeling................... What do you do/can someone do??