Have You Ever.......

Have You Ever.......

Kwa jinsi ulivyoandika ile post inelekea uchungu wako ni kwa kuwa ulimgharamia sana halafu kakuacha na sio kwamba ulimpenda sana. ...Na vile vile kumbuka kutoa ni moyo sio utajiri,,kuna watu wanakutana na machangu na wanawapa hizo nyumba(wengine kwa mapenzi ya kweli na wengine nipe nikupe).kuna swali lingine??

If you can put on my shoes mkuu!
 
Smart move!Wengi hua wanakaa chini na kuwalilia watu ambao sio tu hawajali ila hata huruma hawawaonei!Sema tatizo lingine ni kwamba kuna wakati wanawake hua hatueleweki na nataka staki zetu....hiyo ndo hua inasababisha either wewe mwanaume unasubiria kisicho riziki au mwanamke anampoteza aliyemtaka kweli!


Hili neno zito sana Kizzy!!!!!
 
Kbd nazani mnanisoma wrong!
mimi nakubaliana na wewe kabisa, Muoneshe mpenzi wako unavyompenda lakini at the same time muoneshe kwamba u r not that weak kwamba akiondoka yeye basi maisha yako ndio yamekwisha. Tukubaliane kwamba ni mapenzi ya kwenye maigizo tu ndio yanayowork kwa namna hiyo mnayotaka nyinyi, mapenzi ya kweli katika real life ni lazima yatambue mipaka na limits ndio yaheshimike na kuheshimiwa.

Nimekuelewa dawa ya malaria. Naomba ufahamu kwamba hata siku moja mpenzi hawezi kuchukua nafasi ya Mungu ktk maisha yangu, Mungu kwanza halafu mambo mengine yanafata. Hivyo basi kama mapenzi yapo will make the full of it na yakiondoka will deal na matokeo bt kamwe haiwezi kuwa bora nife kuliko kuishi. Naishi coz Mungu ameruhusu na si vinginevyo haya mengine ni bonus tu.
 
Kbd nazani mnanisoma wrong!
mimi nakubaliana na wewe kabisa, Muoneshe mpenzi wako unavyompenda lakini at the same time muoneshe kwamba u r not that weak kwamba akiondoka yeye basi maisha yako ndio yamekwisha. Tukubaliane kwamba ni mapenzi ya kwenye maigizo tu ndio yanayowork kwa namna hiyo mnayotaka nyinyi, mapenzi ya kweli katika real life ni lazima yatambue mipaka na limits ndio yaheshimike na kuheshimiwa.

...........................A Thin Line Between Love And Hate.................................................................
 
If you can put on my shoes mkuu!

Pole dia. Na haya ndio tunasema hapa kama huwezi kupenda inavyostahili ni bora ukaacha kuliko kuongeza idadi ya broken hearts. Bt kwa upande wako Mungu kakulipia with time uko sawa na maisha yanaendelea.
 
We acha bana. Unampenda mtu wako ile mbaya
Umegharamikia, nyumba, usafiri umempa na biashara juu!
Unasafiri kwa kipindi kikazi unarudi mwanao mdogo anamuuliza eti mama yule baba mwingine atalala wapi leo!
Fikiria hii inakuaje! Malboro zangu begani narudi kwetu kwa mama yangu kuanza upyaaaaaaaaaaa!
Iliniuma sana sitosahau.
Nilijipa moyo bana kwani WHAT IS WRONG WITH FALLING DOWN! YOU CAN ALWAYS GET UP AND START AGAIN! Believe me nilishahau na nikaanza upya and today I have a happy family ila sitosahau!


Aiseee...
 
Mj1 hapa ni kukubali matokeo na kuendelea mbele na maisha ,maana hata ufanye nini usiku hauwezi kuwa mchana ,ni kushukuru na kufungua page mpya katika maisha,
Mungu amepanga maisha ya kila mmoja wetu
 
Back
Top Bottom