Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
ahhh
if u think negatively,u will be negative.....
Orait then...you keep on thinking positively untill you fall into negativity!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahhh
if u think negatively,u will be negative.....
Orait then...you keep on thinking positively untill you fall into negativity!
Shur shur....but you still have to differentiate between playing smart while being positive and being compeletely gullible!if u fall, u stand up again and keep walking while still positively thinking...
what u think,u end up becoming....
Shur shur....but you still have to differentiate between playing smart while being positive and being compeletely gullible!
Samahami kwa kuwarudisha nyuma............From the posts inaonekana wazi kuwa ji vema kusurrender iwapi you feel that the person you love is already taken.......je kama hajakuwa taken leggaly....kwa maana ya official ndoa......unaruhusiwa kurusha karata yao au nacho ni marufuku??ZANTA kibaya si ni kuvunja NDOA ya mtu si ndio? What if umpendaye bado hajaoa/olewa but ana mahusiano yasiyo rasmi? Unaruhusiwa kurusha ndoano?Lizzy ninazungumzia kujaribu.....au kwa vile ana mahusiano basi hutakiwi to let her/him know how you feel about her/him?Lizzy ninaomba nitofautiane na wewe hapa................. kama hajafunga kitanzi kwa maana ya kufunga ndoa takatifu....nina haki ya kujaribu bahati yangu ..........
Kwa sababu kama alivyosema Asprin na MTM ina wezekana kabisa naye anakupenda lakini kwa kuwa hujamweleza hajui kama atapata the same feelings.
utajisikiaje utakapomwachia aoe/olewe na mwingine and only to find out kuwa amemuoa/olewa for other reasons than love??
I still think it is important to let him/her know how you feel about him/her......kama hafeel the same its ok but at least you have tried
Hahahahahaaaaa ina maana sie vimbaombao hatucheat??ukichunguza sana utagundua wanacheat.
Thanks Maty mie kwa upande wangu sikupitia mahusiano kabla ya ndoa ndio maana sijaonja adha ya kuachwa na kuacha,Siwezi sema najua mtu anavojisikia ikitokea ila tu ni maumivu ya kutendwa ndio nayajua sana tu.Na hii mbinu yako watu wangekuwa wanaifata watu wasingekuwa wanaumia kwa kiasi kikubwa, unasoma alama za nyakati unasonga mbele, safi sana. Ila kwenye yale mambo yetu yaleeeeee! niliachaNa haiwezi kutokea ukawa unaumiza tu wewe hujawahi umizwa mpenzi labda uwe na miaka chini ya 20. Unajua nilikuja gundua binadamu huwa tunalaumu sana asee bila kuchunguza kwa umakini. Mimi nilishawahi achwa na mtu yes alikua anamakosa lakini na mimi nilichangia pia sasa nilichofanya ni kumlaumu tuuuuuuuuuu kanitenda kanitenda wala sikutaka kujiuliza ilikuwaje kuwaje nikatendwa. Nikawa namchukia nakumombea mabaya kila siku.
Siku niliyokuja kukaa chini na kujiuliza hivi ilikuwaje kuwaje? ndio nikagundua mimi na yeye wote tuna makosa nikamsamehe na kuendelea na maisha yangu lol toka hapo naishi kwa amani isiyo mfano rohoni na moyoni.
Tusiwe tunalaumu saaaaaaana katika mahusiano lazima kila mtu amechangia hiyo hali hapo
1. Inawezekana ulikuwa unaona kabisa hakupendi bali ulikuwa unalazimisha au
2. Ulitibua na wewe mahala ukasababisha yatokee yaliyotokea
(TENDA YALE UNAYOPENDA KUTENDEWA NA MWENZIO/WENZIO)
Mhhhhhhhh!!!!there are so many fish in the sea
Mhhhhhhhh!!!!
there are so many fish in the sea
there are so many fish in the sea
if u fall, u stand up again and keep walking while still positively thinking...
what u think,u end up becoming....
Kloro dia............hapo ndio penye shida, sasa kama mtu unampenda kwa nini usimuoneshe kuwa unampenda, what is wrong with tht? Mimi nadhani badala ya kupata kiburi mshukuru Mungu kwa ajili yake na wewe mpende the same na ikiwezekana ongeza upendo kwake. Mapenzi ya kweli ni ngumu kupatikana siku hizi na ukiyapata.......shikamana.
Sasa hapo ndio tabu my dear unajikuta anaekupenda kweli na kwa dhati wewe humpendi na kila ukijitahidi waaaaaapi, mimi kama mimi aliewahi kunipenda kwa dhati na kunionyesha kabisa nilijitahidi na mimi nimpende lakini wajameni nilishindwa, nilijitahidi na kujitahidi na kujitahidi mwisho nikabwaga manyanga.
Na nilikua naumia na kusema hivi mtu ananipenda hivi mi nashindwaje kumpenda? Hivi naeleweka hapa au imenitokea mimi tu. Sasa kichekesho kinakuja ninaempenda mimi pamoja na kumuonyesha kote walaaaaaa hana habari.
Achana na mapenzi kabisa bana
Hii ni imani ya babu:
Kuoa/kuolewa sio mwisho wa kupenda/kupendwa
Kuoa/kuolewa si kupenda.... unaweza ukaoa/ukaolewa na mtu asiyekupenda....baadaye ukaja ukakutana na unayempenda....Hapo ndoa haiwezi kuzuia penzi.
Asilimia kubwa ya ndoa ni za watu ambao hawako katika penzi....usishangae infidelity inavyoshika kasi.....ukianguka kwenye penzi, huwezi kucheat. Ukiona mtu anacheat, ujue ameoa/ameolewa na mtu ambaye hajampenda.....Huyo alitamani, akaoa/akaolewa.
Bila kuzunguka sana, kujibu swali lako...kuoa si mwisho wa kupenda.......... Ukipenda huwezi kupotezea, sanasana utakuwa unajitesa bure. Unapotezeaje? Hilo sina uhakika kama linawezekana, labda kama utakuwa hujapenda au babu sijui maana ya kupenda.
Babu anarudi kitandani.
Bada ya kupata ukweli, unamshukuru Muumba kisha forge ahead. Inauma, but there is no way back.Unaukubali ukweli tu!!We can t always get what we want and what we want isn t always what s best for us!!!
nzuri bwana mkubwa leo tunakunywa wapi babuGaga habari ya asubuhi/ mchana/ jioni?
Nzuri bana ingawa nimefanikiwa kujibu za jioniGaga habari ya asubuhi/ mchana/ jioni?
Uhusiano wa 'uoga' ni ule ambao unajua kuwa ipo siku huyu mtu atanitenda. Kwa hiyo unajenga 'belief' kuhusiana na hilo tukia. and obvious expectations zako zinapungua.
off topic:
Ukitumia system dynamics unaweza ku-model hiyo behavior..