Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 448
kbd.......nisaidie mpenz maana nami nimeuliza the same but k9ina MTM wamenikaushia
My dia mimi naamini ktk mapenzi, na imani yangu ni kuwa when i say "i do" ama ninapoamua kureciprocate someones love, i mean it from every bit of me.......yaani ni kupenda tu kwa kwenda mbele na sio vinginevyo. Sina sababu ya kuishi kwa mashaka na wasiwasi eti ohh nitaumia, sijui nitavunjwa moyo.....kwa sababu hakuna kitu kinachodumu milele, watu wanakufa bila kujiandaa itakuwa mapenzi after all maisha yenyewe mafupi haya kuishi kwa kujibana bana kisa........lol