Have You Ever.......


Asante kwa analysis nzuri. Hayo uliyoandika ni ya kweli kabisa..Love becomes a two-way traffic pale mnapokubaliana nyie wawili kwamba mtapendana.
Unajua upendo wa kweli ni ule wa KUAMUA kuliko ule wa 'kujisikia'..Upendo ule wa kujisikia ndo mara nyingi ule unaoweza kusababisha mtu kukiri kushindwa kuishi bila ya mwingine.
Mie kwa mawazo yangu, ukimpenda mtu, uondee mawazo ya 'feelings', weka 'reality' and decide to love that 'someone'..Inapendeza kama na yeye anaamua kufanya hivyo.
So, love is a 'responsibility thing'. Kama unajitahidi ku-show love na yeye hawezi ku-respond, then unajumlisha tu, moja na moja ni mbili, unaangalia usawa wa kweli.

Pia ni ukweli usiopingika kwamba mtu ni muhimu ajisikie 'anapendwa'..Muoneshe kwamba unampenda, na yeye akuoneshe anakupenda ( hapo mnaweza kuji-declare ninyi ni wapenzi)
 

AMEN! My dear lol
 
Nishawahi. Nilikuwa nampenda sana. Nikawa najipa muda nione kama kweli nampenda. Hisia zikasema ndio. Kabla sijajenga ukaribu zaidi rafiki yangu akanitambulisha kwa jamaa kuwa ndie shemeji yangu. Dah! Ikabidi nikubali tu ukweli. Hadi sahvi namuita jamaa shemeji na sio mpenzi kama ambavyo moyo ulikuwa unataka. Lol!
 
"Anything can happen" niliokusudia ni ile ya expectation na sio ya beleive, hivi unajua sababu nyingi za suicide ni zile za "higher expectation failure", labda nifafanulie ni upi uhusiano wa "uoga" na "expectation"?.

Hii imekaa kishule zaidi..
Kwa mawazo yangu nafikiri, 'belief' inapelekea 'high expectation'..watu wa fuzzy logic, wanaweza kuchakachua hapa. Una-believe kabisa kwamba huyu dada utamuoa, then unaweka high expectatiuon kwake..
 

Kloro dia............hapo ndio penye shida, sasa kama mtu unampenda kwa nini usimuoneshe kuwa unampenda, what is wrong with tht? Mimi nadhani badala ya kupata kiburi mshukuru Mungu kwa ajili yake na wewe mpende the same na ikiwezekana ongeza upendo kwake. Mapenzi ya kweli ni ngumu kupatikana siku hizi na ukiyapata.......shikamana.
 
hapo red ndio utata wenyewe sasa! lets say umefanya responsibilities zako, umeonesha true love reality and not feelings (as u said), lakini at the end of the day ukweli unabaki kwamba u can guarantee your own self lakini hauwezi kuguarantee the other side. Sasa in this case, ndio nasisitiza kwamba give it a go but make sure u balance it well.
BTW: Which is better? to give it all and become an unnecessary victim? or balance it and save it for the lifetime? cuz trust me if u balance it there will be no fooling around,

The choice is very yours.
 
labda nifafanulie ni upi uhusiano wa "uoga" na "expectation"?.

Uhusiano wa 'uoga' ni ule ambao unajua kuwa ipo siku huyu mtu atanitenda. Kwa hiyo unajenga 'belief' kuhusiana na hilo tukia. and obvious expectations zako zinapungua.

off topic:
Ukitumia system dynamics unaweza ku-model hiyo behavior..
 

Mie ninaamini love is a thing that grows. Haiwezekani ndani ya wiki moja uka-show love 100%. As time passes, ndivyo unavyoona quality za mwenzako, na kuamua kama unasuka ama unanyoa. TATIZO kubwa ni kupata 'genuine' love.
I must admit, it is so common, that love can be 'faked'..and you can have nothing to do about that. Hapo ndipo God comes into equation (kama unaamini ana-exist).
 
Kbd nazani mnanisoma wrong!
mimi nakubaliana na wewe kabisa, Muoneshe mpenzi wako unavyompenda lakini at the same time muoneshe kwamba u r not that weak kwamba akiondoka yeye basi maisha yako ndio yamekwisha. Tukubaliane kwamba ni mapenzi ya kwenye maigizo tu ndio yanayowork kwa namna hiyo mnayotaka nyinyi, mapenzi ya kweli katika real life ni lazima yatambue mipaka na limits ndio yaheshimike na kuheshimiwa.
 
We acha bana. Unampenda mtu wako ile mbaya
Umegharamikia, nyumba, usafiri umempa na biashara juu!
Unasafiri kwa kipindi kikazi unarudi mwanao mdogo anamuuliza eti mama yule baba mwingine atalala wapi leo!
Fikiria hii inakuaje! Malboro zangu begani narudi kwetu kwa mama yangu kuanza upyaaaaaaaaaaa!
Iliniuma sana sitosahau.
Nilijipa moyo bana kwani WHAT IS WRONG WITH FALLING DOWN! YOU CAN ALWAYS GET UP AND START AGAIN! Believe me nilishahau na nikaanza upya and today I have a happy family ila sitosahau!
 

Hapo kwenye RED ndio ukweli ulipo..kwamba she/he is not everything ( hapo ndo hisia zinapotakiwa zife ili i-work)
 
Hizi ndio zinaitwa conditional love...masharti mengi kama IMF na WB..Sasa vile ulivompa ndio ulitaka viwaunge milele?unavuna ulichopanda.am sorry but this is the truth...
 

hapa kwenye post hii tunakubaliana 100%, niliwahi kuiona couple mwanamke was looking so innocent na caring for her hubby, nilishangaa kuna siku alifanya manyago ya ajabu na nikafuma gazeti laiv lakini sikumtonya mume wake na yeye pia hakuniona. sasa imagine mkaka huyu amechukulia vile nilivyochukulia mimi b4 kwamba wife wake ni innocent halaf lile sanga angekuja kulifuma yeye, na tayari ametafsiri mapenzi vile mnavyotafsiri nyinyi, si kesho tunamzika?
 
Hizi ndio zinaitwa conditional love...masharti mengi kama IMF na WB..Sasa vile ulivompa ndio ulitaka viwaunge milele?unavuna ulichopanda.am sorry but this is the truth...

I didnt mean things! Hii yote unaweza kumfnyia mtu ambaye wewe kwako its everything. Huwezi ukakutana na changu ukampa nyumba! Huwezi ukakutana na malaya leo tu ukamfungulia duka! Mke au hata mchumba unajaribu kumweka katika hali ambayo angalao she can feel what you feel to her! Ad one of is to give her some opportunity kama hizi. I dont get you unaposema navuna nilichopanda! Ilikuwa ni makosa kumpa vyote hivyo? Was it the pay back by bringing someone to my own house. Was she revenging? And if yes for what reason!
Hapa tunashare sweet and sore of this we call LOVING SOMEONE! And that was my experience!
 
Kwa jinsi ulivyoandika ile post inelekea uchungu wako ni kwa kuwa ulimgharamia sana halafu kakuacha na sio kwamba ulimpenda sana. ...Na vile vile kumbuka kutoa ni moyo sio utajiri,,kuna watu wanakutana na machangu na wanawapa hizo nyumba(wengine kwa mapenzi ya kweli na wengine nipe nikupe).kuna swali lingine??
 
Hahahaa...Fellow tablet kama utaenda na ile suti yako uliyopewa baada ya kushinda mbio za kufukuza kuku, usisahau kuniwekea pilau na ndizi mbivu kwa mfuko........sijala pilau tangu JK alipoaoishwa kuwa mbunge wa Chalinze.
 

Yaah, but njia rahisi ikitokea usiwe king'ang'anizi, just let her/him go. sit down to the wonder utapata mwingine ambaye hautaamini. Uking'ang'ania hatua ya pili ni uchizi au kuzikwa kabisa.
Ila inauma sana hasa pale unapoona mtu uliyemuamini hata hakujali tena na anakutupa as a scrap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…