Have You Ever.......

Orait then...you keep on thinking positively untill you fall into negativity!

if u fall, u stand up again and keep walking while still positively thinking...

what u think,u end up becoming....
 
if u fall, u stand up again and keep walking while still positively thinking...

what u think,u end up becoming....
Shur shur....but you still have to differentiate between playing smart while being positive and being compeletely gullible!
 

...pheeeewww, ...MWJ1 madhali 'closing date' haijafika, ruksa kupeleka CV!
hata kasisi huuliza kama kuna mwenye pingamizi 'kabla hajafungisha pingu za maisha!'
Hii sredi inanikumbusha vituko vya movie - My Best Friend's Wedding - Julia Robert, Dermot Mulroney & Cameron Diaz
 
Thanks Maty mie kwa upande wangu sikupitia mahusiano kabla ya ndoa ndio maana sijaonja adha ya kuachwa na kuacha,Siwezi sema najua mtu anavojisikia ikitokea ila tu ni maumivu ya kutendwa ndio nayajua sana tu.Na hii mbinu yako watu wangekuwa wanaifata watu wasingekuwa wanaumia kwa kiasi kikubwa, unasoma alama za nyakati unasonga mbele, safi sana. Ila kwenye yale mambo yetu yaleeeeee! niliacha
 
if u fall, u stand up again and keep walking while still positively thinking...

what u think,u end up becoming....

I like this man,fallen somewhere for some reasons doesn't guarantee u being negative on it!keep being positive no matter wat n someday things will be positive as well,nakuunga mkono kamanda
 

Sasa hapo ndio tabu my dear unajikuta anaekupenda kweli na kwa dhati wewe humpendi na kila ukijitahidi waaaaaapi, mimi kama mimi aliewahi kunipenda kwa dhati na kunionyesha kabisa nilijitahidi na mimi nimpende lakini wajameni nilishindwa, nilijitahidi na kujitahidi na kujitahidi mwisho nikabwaga manyanga.

Na nilikua naumia na kusema hivi mtu ananipenda hivi mi nashindwaje kumpenda? Hivi naeleweka hapa au imenitokea mimi tu. Sasa kichekesho kinakuja ninaempenda mimi pamoja na kumuonyesha kote walaaaaaa hana habari.

Achana na mapenzi kabisa bana
 

Maty dear,hii iko sana wala si wewe peke yako nimesikia kwa wengi pia! Ulifanya vizuri kubwaga manyanga kuliko kuwepo mahali ambapo moyo wako haupo,mapenzi ni kitu cha ajabu sana na sina hakika kama kuna mwenye fomula ya uhakika!
 

hapo kwenye RED, ujumbe umefika.. Ila upande mmoja kuna kuolewa/kuoa mtu unampenda kisasa lakini leo si kesho kwa hiyo feelings hubadilika!. Siamini kwamba ukioa mtu unampenda, utampenda maisha yote with the same feelings! anayebisha atueleze..

MJ1 ili ili uweze kuondokana na hiyo hali inabidi ufahamu three stages of love ambazo ni Romantic Feelings, Physical Attraction, and Emotional Attachment- then unatafuta dawa ya kuachana na stage moja moja .. teh teh
 
Unaukubali ukweli tu!!We can ‘t always get what we want and what we want isn ‘t always what ‘s best for us!!!
Bada ya kupata ukweli, unamshukuru Muumba kisha forge ahead. Inauma, but there is no way back.
 
:dance:nimetoka sifuri!:biggrin1:MJI hili lithread linahusu nini vile?
 
Uhusiano wa 'uoga' ni ule ambao unajua kuwa ipo siku huyu mtu atanitenda. Kwa hiyo unajenga 'belief' kuhusiana na hilo tukia. and obvious expectations zako zinapungua.

off topic:
Ukitumia system dynamics unaweza ku-model hiyo behavior
..

Ku-model kwa mtu wako wa karibu ni muhimu sana maana unamjua kila kitu na tabia yake kwa hiyo model ikiji-behave tofauti unajua kunajambo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…