Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEAH ULIVUKA STEPS, na ndio maana umezirudia sasa
just moderate, with several sparks and flares would sufficeMhhhh kwahiyo just a lil tiny bit of it is enough????
Strawberry are you happy in your relationship?mh! mwenzenu kuna m2 nampenda sana tatizo ni kwamba mie nko na mahusiano tayari, so ni ngumu kuwa naye ila ndo hivyo, naumia tu ndani kwa ndani,
Mjukuu mtiifu, kwa vile ninavyokusoma hapa JF naona ni tough task kukutoa katika imani yako ya mapenzi na kukupeleka katika imani yangu ya mapenzi.
1)Most people they judge mapenzi kwamba lazima uyaoneshe kwa mpenzi wako na lazima ujidhalilishe kwake ili uoneshe kwamba unampenda, uko serious na una true love kwake.
2)on the other hand binadamu kimaumbile tumeumbwa na jeuri na dharau pale tunapoona tuko juu au tunawekwa juu kwasababu moja au nyengine.
(unganisha sentensi mbili hizi kisha jawabu ni kwamba ukijidhalilisha kwa mpenzi wako or the so called true serious love ujue una percentage kubwa sana ya kuumizwa).
itaendelea post ijayo.......... kibaka ananyemelea raba yangu acha nimnyatie.
Unaukubali ukweli tu!!We can t always get what we want and what we want isn t always what s best for us!!!
Kupenda ni ugonjwa na pia ni dawa!Penda pale pendo lako litakapo pokelewa tu...ikitolea umependa pasipo geuka ukimbie!Anaweza akajitokeza mtu mmoja mwenye asili ya binadamu akaniambia mmekonkludi nini hasa katika hii Have You Ever?
babu utaconcludije katikati?...............have You ever bado inaendeleaAnaweza akajitokeza mtu mmoja mwenye asili ya binadamu akaniambia mmekonkludi nini hasa katika hii Have You Ever?
Hhahah baba mchungaji i have loved someone so much it made me cry....i have loved someone so much i couldnt sleep at night...na mengine zaidi but im still longing for that day when I will fall in love again!
Chances never comes twice!
we kamanda wewe.... hivi huwa hupalilii hiyo love jamani?? nurture, care, protect... vyote hivi huondoa magugu madamBut darling sometimes you reap what you havent saw............you reap them magugu ambayo hukuyapanda.umepanda love unategemea kuvuna love but unajikuta magugu yamekuwa katikati ya love na you end up picking them instead of love MTM.kweli ninakwambia!! In my life nimeexperience hili in two most crucial relationships that I believed (amd stil am) sawing love but end up reaping nothing but magugu (sometimes najiuliza may be its a punishment kama asemavyo Maty)
kweli kabisawewe umemaliza kila kitu......bonge la comment.ni kweli sio lazima unaeokota nae kuni then baada muokote majivu......
Kupenda ni ugonjwa na pia ni dawa!Penda pale pendo lako litakapo pokelewa tu...ikitolea umependa pasipo geuka ukimbie!
So i should count my loses ehhhhhh???
Mh kuna magugu kamanda....ninaelewa sana love inatakiwa kupalilia but sometimez yanajitokeza......na mara nyingi shamba likiwa kubwa basi unawezapalilia mara moja, mbili na kutegemea na ukuaji wa magugu mkulima anachokawe kamanda wewe.... hivi huwa hupalilii hiyo love jamani?? nurture, care, protect... vyote hivi huondoa magugu madam
usiniambie ulikua hupalilii, dah
Fellow tablet...kuna binadamu wa jinsia ya kike alinipa salamu zako, sijui nikupee hapa Have You Ever au nikufuate huko Famasi?
Unajua Lizy, kuna watu bado hawajui wapi wanapendwa na wapi hupendwi hii ndo inakuja inasababisha maumivu, maana kuna vitu tu watu wanafikiri mpenzi wako asipokufanyia basi hakupendi na kuna sehemu unafanyiwa hivyo vitu ukajua hapa ndo napendwa kwenmbe mwenzio ni anacheza na wewe.!! kwa hiyo some times tunajitakia tu kuumizwa.Kupenda ni ugonjwa na pia ni dawa!Penda pale pendo lako litakapo pokelewa tu...ikitolea umependa pasipo geuka ukimbie!
babu utaconcludije katikati?...............have You ever bado inaendelea
hahahahha eti mwenye asili ya binadamu
mdogo wangu, tembo haelemewi na mkonga wake... ukiona umelemewa na magugu ujue kuna jambo.... either umeshindwa kupalilia, au hujali mazao hayoMh kuna magugu kamanda....ninaelewa sana love inatakiwa kupalilia but sometimez yanajitokeza......na mara nyingi shamba likiwa kubwa basi unawezapalilia mara moja, mbili na kutegemea na ukuaji wa magugu mkulima anachoka
hehehe, fellow tablet, umesibitisha kama ni jinsia inayobeba ujauzito?, juzi fesbuk nilipanda mkenge nikatongoza shemale aisee. nimefuta akaunti yangu ya fesbuku until faza notice.