Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Wanawake wenye akili hawawezi kikubaliana naye., kwanza tuanze na yeye Je ameolewa au alizalishwa tu kisha maisha yakasonga. Na kama kaolewa analipwa na huyo mme wake, na kama hajaolewa iweje leo awe mshauli na mwalimu wa walioolewa.
Kaolewa ni binti mdogo tu huyu.. kaolewa na yule jamaa wa wasafi anaitwa kimkyando
 
Very stupid argument.... kwa jinsi taasisi ya ndoa inavyotetereka(ambayo ndo msingi wa jamii iliyostaarabika) wanaharakati wapuuzi kama hawa badala ya kuja na hoja za kujenga ndo kwanza wanaharibu familia kabisa.
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili na sio business contract kwa huku kwetu.
1. Wapo wanaume wanaomudu kuwalipa wake zao mshahara sababu walikubaliana kuwaachisha kazi ili walee familia
2. Mwanaume anaejielewa na kipato kinaruhusu akiwa na mke mama wa nyumbani nyumba yenye majukumu mengi anamuwekea tu house girl na bado atamtunza mkewe kwa mahitaji yake binafsi kadiri kipato chake kinavyoruhusu

Yani huyo mume achukue kamshahara kake alipe kodi, ada, chakula, mahitaji ya nyumbani.... etc then bado amlipe mke ambae toka 2015 serikali imeshindwa kumuajiri private nako hola na bado kashindwa kujiajiri. Hii ni mentality ya kishetani na kinyonyaji hamna upendo hapo na hiyo familia lazima iwe masikini

Huu muda wanaotumia kutafuta sheria za kijinga, wangekua wanajikita kutafuta fursa namna mwanamke anaweza kufanya kazi kwa muda mchache au kufanya kutokea nyumbani ili aweze kupata muda wa kutunza familia asilimia kubwa ya muda wake badala ya familia kulelewa na madada wa kazi

Nje ya mada... huu muda anaopiga domo angekaa na mumewe wajitahidi wapate watoto labda akili itakomaa ataacha arguments za kipumbavu
Kweli kabisa,kangekua na mtoto,akili ingekomaa.kwa sababu huu ni mwaka wa tatu toka kameolewa na hakajaahika mimba
 
Husband: Can you please clean our home for a bit?
Feminist: That's not my job.

Boss: Clean the office & bring me coffee when you're done.
Feminist: Right away, boss.
 
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
kataa ndoa,kataa mahusiano
 
Na mwanaume atalipwa na nani pesa anazopoteza kumtunza huyo mwanamke?
 
Back
Top Bottom