bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Feminist watambue ndio Sio lazima ndoa ni ibada na ni Maalumu kwa ajili ya watu wachache walio tayari.
Maisha Sio lazima ndoa.
Maisha Sio lazima ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona na yeye ni mke wa mtuHawa masupawimeni hawa ni hatari.
Hawajui kuwa wapo kwenye ajenda moja na watetezi wa upinde; na lengo lao kuu mojawapo ni kuharibu kabisa taasisi ya ndoa na familia (ambayo ndiyo msingi-mama wa jamii yo yote ile). Hawa ni maajenti wa shetani!
NI KWELI KWASABABU KUNA WANAWAKE ROHO ZAO ZINAUMIA SANA WAKIONA WENZAO WAMETULIA KWENYE NDOA ZAO, SASA KUTOKANA NA STRESS WALIZONAZO WANATAKA KUWAJAZA UJINGA WENZAO ILI NAO WAACHIKE WAZIDI KUONGEZA IDADI YA SINGLE MOTHER WENZAO.Nakubaliana nawe 100% sasa waache walio kwenye ndoa waanze kudai malipo Kama hawajashangaa kesho analetwa mwanamke mwengine ndani ya nyumba [emoji1][emoji1]
Kaolewa?Huyu shamira ni zao la ngono zembe ya wazazi wake fckin kabisa
Kwa hiyo Aaliyyah nani afanye kazi za ndani ukiolewa?Kweli lengo la kuolewa sio mwanamke afanye kazi za nyumbani sawa
Wew ndo hujaelewa apo anezungumziwa mke kulipwa na sio mfanyakaz kama mfanyakazi sijui umeishia elimu gan[emoji16][emoji16]Wengi hamjaelewa hapo kuna hali kadhaa zinatokea.
Mwanamke aliyeolewa akiwa hana kazi kabisa ,huyu kufanya kazi hata yeye ataona ni sawa kwa vile hawezi kukaa tu bila ya kazi utakuta anajishughulisha wengine kufua kila baada ya siku kadhaa ,mara kupika,kufagia uwanja yaani binafsi ni asili ya binadamu kujishughulisha ili mwili ukae sawa.
Tuje fungu la utandawazi hawa wale wanaofanya kazi kwa wale walioa watumishi ,mke anatoka nyumba saa 2 asubuhi anarudi jioni hapo nyumbani nan atapika ,atafagia asubuhi na mchana? huoni hapa kiuhalisia unatafuta mfanyakazi ili umlipe kwa shughuli hizo ambazo angefanya mke....Sasa mnakataa maneno hayo wakati ndo yale yale tu kawaida.
Hawakupata matajiri ila pia hawakuolewa na maskiniHing
Hongera vipi walipata matajiri
We ndo hujaelewa kwa vile hujui mada imetoka wapi?Wew ndo hujaelewa apo anezungumziwa mke kulipwa na sio mfanyakaz kama mfanyakazi sijui umeishia elimu gan[emoji16][emoji16]
Malengo maalumu Ni yapi? Tuliandikishana wapi? Kwa maana hayo malengo maalumu kwangu Ni kunisaidia kazi za nyumbani kuzaa hata mbuzi anazaayule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
Arudie tena maneno haya,kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako.
Cha msingi amani na utulivu kama wanapata basic needs toshaHawakupata matajiri ila pia hawakuolewa na maskini
Kwahuyo ni business contract ndio maana hata kusemwa anasemwa na anatilishwa na boss wake. Upo tayari ndoa iwe business contract na atakayezingua nguvu itumike na kukaripiwa bila sijui kuandaana na ujinga mwingine ili sijui umfurahishe mwanamke. [emoji23][emoji23][emoji23]boss hivi unajua kuwa kama ndoa ingekuwa pure business contract wanawake wangekimbia wanaume kwakuwa utakavyomtreat mke siosawa na utakavyomtreat mwajiri wako.Hivi housegirl mbona unamlipa mshahara na anakula kwako, analala kwako, halipi kodi na akiugua unamhudumia, sembuse mke ambaye anakupa na papuchi ya bure kila siku?
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.
Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Wanachukulia mambo kirahisi rahisi tuUtazania una mume
[emoji23][emoji23]Utazania una mume
wala wasisumbuke, wasifanye izo kazi, hata kutandika kitanda wasitandike, sisi hatutaki tuwalipe ila tutamlipa housegirl afanye hizo kazi. housegirl atupikie adeki na kufua nguo na atandike na kitanda, afue na boxer zangu n.k. wakikubali hilo naingia naye mkataba wa kumlipa kazi za ziada za nyumbani."Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.
Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Ukumbuke wanaharakati wote ni wale ndoa zilizowashinda"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.
Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Kula nyapu tutakula za mahouse girl ambao wakotayariwala wasisumbuke, wasifanye izo kazi, hata kutandika kitanda wasitandike, sisi hatutaki tuwalipe ila tutamlipa housegirl afanye hizo kazi. housegirl atupikie adeki na kufua nguo na atandike na kitanda, afue na boxer zangu n.k. wakikubali hilo naingia naye mkataba wa kumlipa kazi za ziada za nyumbani.