Nyani Bishoo
JF-Expert Member
- Jul 7, 2023
- 354
- 570
Safi Sana dada inabidi ujengewe Sanamu pale uwanja wa Taifa alimaarufu kwa Mkapa na pale uwanja wa ndege JNIA na Makumbusho zote za Taifa maana Ni wanawake wachache waliobaki na Busara Kama zako hebu chukua[emoji259][emoji255][emoji1651][emoji257][emoji253]yako.Nani achanganyikiwe...labda kama ubongo wa mtu anaejisikia kuchanganyikiwa ni empty set. Hivi hili ni jambo la kudebate kweli? Ukute huyo Shamira hafanyi haya anayoyasema katika jamii. Wanaune wakipinga mahari, wanawake tunasema ni mila na tamaduni za kiAfrica, saivi tunazikataa tena mila zetu. I guess she is chasing clout au ndo donors wa organization yake wamempa hizi terms kwamba awe feminist wa mchongo..it actually doesnt suit her [emoji849][emoji849].
Haya mambo ya gender nyee..gender nyaa yanatuharibu kwa speed ya 5G. Mbaya zaidi kuna gen Z wakikutana na such content, wanaicopy na kwenda kuipaste kwenye familia zao zijazo. Misingi ya kiAfrica iheshimiwe maana inapass on value kubwa sana kwetu. Binti asomeshwe sawa. Lakini hata akipata kazi, ajue primary purpose yake hapa duniani ni kulea familia na kurithisha mema kwa kizazi chake.
Sipendelei kushindana na wanaume kufanya kazi mpaka saa mbili usiku ndo nitoke kazini, ili nisecure promotion..mwisho wa siku watoto ninaowapambania wanakuja kunifurahisha..show show..afu nakimbilia kwa Mwamposa kubeba mafuta ili mapepo yawatoke..hata shetani atasema dada nikome..umeyachuma mwenyewe. Family (incase umepata hii nafasi) inatakiwa ibebe 70% of your time, Career 30%. Naona hii ni balance moja nzuri, unless otherwise.. alijisemeaga The Boss, unaishia kuwa corporate slut..raha iko wapi kwenye ubatili huu??