Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
huyu binti anapatikana wapi..haijalishi kaolewa ama laa kuna jambo nataka kulifanya kwa maslai mapana.
mana namna hii huu sasa ni ujinga
mana namna hii huu sasa ni ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapokuja kwangu kama hana ajira huwa anakuja kuangalia TV si ndiyo?🤣🤣🤣kweli lakin
Kuna wake za watu wanazeeka haraka kwa majukumu ya nyumbani,ya kufua mijinsi,kupikia ukoo,kutunza mifugo kama mbuzi,kuku,bata,kuosha mijivyombo,kuteka maji, daily kupiga deki nyumba,wengine kulima kila msimu yeye na watoto,bado kuzaa double double na kulea bila hata hausigelo.
🤣🤣Mkuu mie nimewaza kwa sauti tu jinsi navyowaona wake za watu wakihenyeka kufanya hayo huku mtaani,Sasa mkeo we wajua mlianzaje na makubaliano yalikuwaje🙏A
Anapokuja kwangu kama hana ajira huwa anakuja kuangalia TV si ndiyo?
Komaaa hayo ndiyo maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli lakin
Kuna wake za watu wanazeeka haraka kwa majukumu ya nyumbani,ya kufua mijinsi,kupikia ukoo,kutunza mifugo kama mbuzi,kuku,bata,kuosha mijivyombo,kuteka maji, daily kupiga deki nyumba,wengine kulima kila msimu yeye na watoto,bado kuzaa double double na kulea bila hata hausigelo.
Kwa hiyo hao wanaofanya kazi warudi nyumbani kupika?
Au umenielewa vip ? hao feminists wanatoa hoja hizo ni kwamba wengi wanafanya kazi na hawana mda wa kupika makwao ...Hoja yao imesimamia kwamba hapo lazima utoe malipo kwa wanaofanya kazi za nyumbani ikiwezekana mke asifanye na ufanye kuajiri mfanyakazi wa ndani.
Na vile wanaume hawana shukrani hii si mbaya sana.....mtu unabeba mimba miez tisa tena Kwa maangaiko,bado uzae Kwa shida....bado ulee watoto na mume Kwa shida.....lakini mwanaume hatoi pole Wala kuhurumia zaidizaidi anasema hiyo Kwa mwanamke ni Nature...mwanamke ni chombo Cha starehe tu.....aisee...ndoa zenye amani mtazisikia tu Kwa wanyama
"Malengo Maalum" ni nini ?"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."
"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.
Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Halafu moja ya host wa kipindi kachumbiwa juzi juzi live live.Haha imagine icho kipele ndo mkeo haki unakufa ndani ya wiki.
Yana vichaa haya si bureHawajielewi
Kasikilize video ya huyo mbuzi wewe ndiyo hujaelewa madaKwa hiyo hao wanaofanya kazi warudi nyumbani kupika?
Au umenielewa vip ? hao feminists wanatoa hoja hizo ni kwamba wengi wanafanya kazi na hawana mda wa kupika makwao ...Hoja yao imesimamia kwamba hapo lazima utoe malipo kwa wanaofanya kazi za nyumbani ikiwezekana mke asifanye na ufanye kuajiri mfanyakazi wa ndani.
kataa ndoa mko wapi? kwa hili pigeni kampeni tu