Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Mi napenda serve My man.
ila sipendi kazi za ndani, so aendelee tu kumlipa dada anayefanya hizo kazi.
Mi ntaendelea kusogeza kahawa na kupanga suruali na shati la kuvaa kazini mabvyo of course vimefuliwa aidha dry cleaner au na dada!
Hamnaga ushujaa kwenye kuchoka na mikazi ya ndani!
Babe we lipa maid na hizo service mi ntakupangia soksi na boxe kitandani na chakula my wangu ntakupakulia, ntakupikia, ntakuandalia na kukukaribisha mezani.
Ila kudeki ,kufua, na mengineyo pambana tu na mshahara wa dada.
 
Haha 😂😂😂, naanzaje kwanza kua feminist 😃😃🙌
Hapo sasa maana hawakutaki uwe na uzao wako wa kujivunia baadae. Hao wengi wao wameachika, pia wameona hawana soko either kwa kasoro ambazo wanazo na mbele za wanaume wanakuwa very inferior sasa wanajitutumua au ni wasagaji 😂😂
 
Ewaaaa wewe unafaa sana, kilichobaki ni mambo madogo tu ambayo kungwi atayasimamia juu yako ili unoge zaidi sawa bibie eh😊
 
Hapo sasa maana hawakutaki uwe na uzao wako wa kujivunia baadae. Hao wengi wao wameachika, pia wameona hawana soko either kwa kasoro ambazo wanazo na mbele za wanaume wanakuwa very inferior sasa wanajitutumua au ni wasagaji 😂😂
nakubaliana na wewe..nina mifano mingi sana iliyo hai😊🙌
 
sana.....mtu unabeba mimba miez tisa tena Kwa maangaiko,bado uzae Kwa shida....bado ulee watoto na mume Kwa shida.....lakini mwanaume hatoi pole Wala kuhurumia zaidizaidi anasema hiyo Kwa mwanamke ni Nature...mwanamke ni chombo Cha starehe tu.....
Mtawalaumu mabeki tatu wenu kisa us.....ge wenu huo, mbona ma beki tatu wanafanya yote hadi huduma zingine nyie mna kwama wapi
 
Back
Top Bottom