Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Wengi hamjaelewa hapo kuna hali kadhaa zinatokea.

Mwanamke aliyeolewa akiwa hana kazi kabisa ,huyu kufanya kazi hata yeye ataona ni sawa kwa vile hawezi kukaa tu bila ya kazi utakuta anajishughulisha wengine kufua kila baada ya siku kadhaa ,mara kupika,kufagia uwanja yaani binafsi ni asili ya binadamu kujishughulisha ili mwili ukae sawa.

Tuje fungu la utandawazi hawa wale wanaofanya kazi kwa wale walioa watumishi ,mke anatoka nyumba saa 2 asubuhi anarudi jioni hapo nyumbani nan atapika ,atafagia asubuhi na mchana? huoni hapa kiuhalisia unatafuta mfanyakazi ili umlipe kwa shughuli hizo ambazo angefanya mke....Sasa mnakataa maneno hayo wakati ndo yale yale tu kawaida.
akiona ana kazi nyng atafute housegirl na amlipe yeye, kazi ya mwanaume ni kuhudumia familia, kazi ya mwanamke ni kulea familia, usafi, vyakula etc ni shughuli za kawaida za mwanamke kwenye familia, mwanaume kazi yake kuhakikisha mahitaji yanatimizwa, Mungu hakukosea kusema huyu azae kwa uchungu na huyu ale kwa jasho, kula kwa jasho ni wewe na kuilisha familia yako, kuzaa kwa uchungu ni pamoja na kulea watoto na familia, huwez zaa kwa uchungu halafu iishie hapo, nan alee ulichozaa wewe... na kwann ulpiwe kwa kulea wanao.
 
Hawa wanaharakati wanaongea haya kwa mitamazo ya haki ila kwa ground mambo hayana uhalisia.

Hizi familia mama anafanya kazi na baba nae ni hatari sana katika majukumu ya kazi za nyumbani.
 
akiona ana kazi nyng atafute housegirl na amlipe yeye, kazi ya mwanaume ni kuhudumia familia, kazi ya mwanamke ni kulea familia, usafi, vyakula etc ni shughuli za kawaida za mwanamke kwenye familia, mwanaume kazi yake kuhakikisha mahitaji yanatimizwa, Mungu hakukosea kusema huyu azae kwa uchungu na huyu ale kwa jasho, kula kwa jasho ni wewe na kuilisha familia yako, kuzaa kwa uchungu ni pamoja na kulea watoto na familia, huwez zaa kwa uchungu halafu iishie hapo, nan alee ulichozaa wewe... na kwann ulpiwe kwa kulea wanao.
Ukiona mwanamke analalamika mambo madogo ya kazi za nyumbani ujue huo ji Uvivu tu. Sio mambo ya haki
 
Wasimbe waloshindikana ao wanaona wivu wake zetu kutulia nyumbn huku mikoani io sheria haipo na haitakuepo, wanao oa wajuaji midomo juuu ndio watakutana nazo izo wakati wanaandaa io sheria wakumbuke na mahari hawatotoa vijana ili kuoa bora waoe ma house girl
20230810_141417.jpg
 
Single maza watazidi mara dufu. Sawa na sisi tutawapeni kile mnakitafuta.
Yaani hata Sasa wapo wengi mtaani wamejaa, wengine wamepeleka watoto Mikoani Ili aje kudanga vizuri. Akizalishwa anapeleka mtoto Mikoani anarudi Tena kudanga. Sijui Miaka 5 itakuwaje?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndo wale wanaojiita makungwi, washaachika mara kadhaa alafu wanawafundisha wenzao kuishi na mume
 
HAWA WANAWAKE WENGI AMBAO NI WANAHARAKATI, WALA HAWAPO KWENYE NDOA. WANAWAPOTOSHA TU WENZAO.
MLIO KWENYE NDOA AKILI KICHWANI MWENU AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYENI NA ZA KWENU.
Nakubaliana nawe 100% sasa waache walio kwenye ndoa waanze kudai malipo Kama hawajashangaa kesho analetwa mwanamke mwengine ndani ya nyumba 😄😄
 
Back
Top Bottom