Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Wanawake watakaosikiliza ushauri huu na kuufanyia kazi tutakutana nao kwenye vilabu vya piwa huku chupi zikiwa zinaanguka zenyewe kwa kushindwa kubana viunoni.

Huyu mwehu hatopingwa na wanaume ila atalaaniwa na wanawake wenzake😁😁
 
Na vile wanaume hawana shukrani hii si mbaya sana.....mtu unabeba mimba miez tisa tena Kwa maangaiko,bado wazazi Kwa shida....bado ulee watoto na mume Kwa shida.....lakini mwanaume hatoi pole Wala kuhurumia zaidizaidi anasema hiyo Kwa mwanamke ni Nature...mwanamke ni chombo Cha starehe tu.....aisee...ndoa zenye amani mtazisikia tu Kwa wanyama
Yaani wewe kuzaa unaona kama ni mateso?

Utakuwa una shida mahala.

Wake zetu wakizaa ni full furaha tunawachinjia hadi Mbuzi wewe unaona Kero?
 
Wanawake watakaosikiliza ushauri huu na kuufanyia kazi tutakutana nao kwenye vilabu vya piwa huku chupi zikiwa zinaanguka zenyewe kwa kushindwa kubana viunoni.

Huyu mwehu hatopingwa na wanaume ila atalaaniwa na wanawake wenzake😁😁
Alikuwa kalewa. Hawa waliokosa malezi kwa Wazazi wao ni shida.
 
Na vile wanaume hawana shukrani hii si mbaya sana.....mtu unabeba mimba miez tisa tena Kwa maangaiko,bado wazazi Kwa shida....bado ulee watoto na mume Kwa shida.....lakini mwanaume hatoi pole Wala kuhurumia zaidizaidi anasema hiyo Kwa mwanamke ni Nature...mwanamke ni chombo Cha starehe tu.....aisee...ndoa zenye amani mtazisikia tu Kwa wanyama
Hapo kwenye bold, mwanaume anahusika vipi? Yeye ndie aliyeamua mwanamke abebe mimba tena kwa mahangaiko?
 
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Jw huyo ameolewa?,na kama ameolewa analipwa na mumewe?,na usikute kuna wanawake wanaamini anachosema
 
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Elon Musk atawaletea robot ndume ili shida hizi zipungue kabisa!!
 
Hapo kwenye bold, mwanaume anahusika vipi? Yeye ndie aliyeamua mwanamke abebe mimba tena kwa mahangaiko?
Ni mume wangu he hatohitaji mtoto mkuu,sawa ni nature me zile shida ninazopata kukupatia uzao wako huwez kuwa na moyo wa huruma zaidi ya dharau....tuwafikirie na wazazi wetu kabla hatujawadharau wanawake wote duniani
 
Hivi si kuna ile teknolojia ya ku-trans gender, si wanawake wafanyie tu ili wawe wanaume, ingawaje itakuwa wanaume fake, na labda ndio maana hawaichangamkii baada ya kutambua hilo.
 
Back
Top Bottom