Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
#KATAA NDOA
 
Mi napenda serve My man.
ila sipendi kazi za ndani, so aendelee tu kumlipa dada anayefanya hizo kazi.
Mi ntaendelea kusogeza kahawa na kupanga suruali na shati la kuvaa kazini mabvyo of course vimefuliwa aidha dry cleaner au na dada!
Hamnaga ushujaa kwenye kuchoka na mikazi ya ndani!
Babe we lipa maid na hizo service mi ntakupangia soksi na boxe kitandani na chakula my wangu ntakupakulia, ntakupikia, ntakuandalia na kukukaribisha mezani.
Ila kudeki ,kufua, na mengineyo pambana tu na mshahara wa dada.
Sisi wanaume hata hatujali nani kafanya...cha msingi tukirudi tukute mazingira safi kuanzia wewe, watoto, ndani..mazingira ya nje, chakula safi na kitamu, nguo zimenyooshwa etc...
Suala la wewe umefanya au mdada wa kazi- hatujali kabisa.....yaani tena hata mdada wa kazi akiandaa nguo, chakula....furesh tu...cha msingi awe msafi na hadhi ya kuandaa msosi....
SISI HATUNA BAYA...tuna Mazuri tu
 
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Hawa wanataka kusiwe na ndoa kabisa.
 
Bora angesema mwanamke asaidiwe majukumu ya nyumbani ni mengi,sio et alipwe hajaenda kupika pale upumbavu Sababu aloitaja Kwa imaniyake Iko sawa
Kweli lengo la kuolewa sio mwanamke afanye kazi za nyumbani sawa hatukatai lakini dini haijaruhusu pia wanawake tuwe wanaharakati,kama kilichokipeleka sio kupika kuwa mama wa nyumbani Lea mume na watoto tutakuelewa Yani usipike Et sio kaziyako lakini uwe feminist sijui mwanaharaki ifike kipindi motivation speaker wapungue wanatuchanganya
 
Huyu ni wa kumgonga ataacha mdomo
Tena namfungia remba
 
Hata ukisema kuwa umeolewa Ili utoe utamu,bado utamu wenyewe ni wa kupimiana

Pambafu
 
Bora angesema mwanamke asaidiwe majukumu ya nyumbani ni mengi,sio et alipwe hajaenda kupika pale upumbavu Sababu aloitaja Kwa imaniyake Iko sawa
Kweli lengo la kuolewa sio mwanamke afanye kazi za nyumbani sawa hatukatai lakini dini haijaruhusu pia wanawake tuwe wanaharakati,kama kilichokipeleka sio kupika kuwa mama wa nyumbani Lea mume na watoto tutakuelewa Yani usipike Et sio kaziyako lakini uwe feminist sijui mwanaharaki ifike kipindi motivation speaker wapungue wanatuchanganya
Nani achanganyikiwe...labda kama ubongo wa mtu anaejisikia kuchanganyikiwa ni empty set. Hivi hili ni jambo la kudebate kweli? Ukute huyo Shamira hafanyi haya anayoyasema katika jamii. Wanaune wakipinga mahari, wanawake tunasema ni mila na tamaduni za kiAfrica, saivi tunazikataa tena mila zetu. I guess she is chasing clout au ndo donors wa organization yake wamempa hizi terms kwamba awe feminist wa mchongo..it actually doesnt suit her 🙄🙄.

Haya mambo ya gender nyee..gender nyaa yanatuharibu kwa speed ya 5G. Mbaya zaidi kuna gen Z wakikutana na such content, wanaicopy na kwenda kuipaste kwenye familia zao zijazo. Misingi ya kiAfrica iheshimiwe maana inapass on value kubwa sana kwetu. Binti asomeshwe sawa. Lakini hata akipata kazi, ajue primary purpose yake hapa duniani ni kulea familia na kurithisha mema kwa kizazi chake.

Sipendelei kushindana na wanaume kufanya kazi mpaka saa mbili usiku ndo nitoke kazini, ili nisecure promotion..mwisho wa siku watoto ninaowapambania wanakuja kunifurahisha..show show..afu nakimbilia kwa Mwamposa kubeba mafuta ili mapepo yawatoke..hata shetani atasema dada nikome..umeyachuma mwenyewe. Family (incase umepata hii nafasi) inatakiwa ibebe 70% of your time, Career 30%. Naona hii ni balance moja nzuri, unless otherwise.. alijisemeaga The Boss, unaishia kuwa corporate slut..raha iko wapi kwenye ubatili huu??
 
Back
Top Bottom