secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Tayari niko na FotMob, hawa Malaya wameshanikera.Unyama ni FotMob , achana na hao matapeli
Huyu moderator anaweza kuwa Labani og au Liverpool VPN mashabuki wa UTO.Moderator ni mtabir kwahiyo hapo ametabiri yajayo πππ
Nilipita huko nikashangaa mnyama keshakufa Moja ila live Bado bila bila nikaona Hawa wamebet home ashinde πππHuyu moderator anaweza kuwa Labani og au Liverpool VPN mashabuki wa UTO.
Wamekera mno π.Nilipita huko nikashangaa mnyama keshakufa Moja ila live Bado bila bila nikaona Hawa wamebet home ashinde πππ
Simba anaongoza Moja nahisi yule moderator analia keka lake limeenda πππ
Ila nyinyi mnaweza shindana na liva kombe akachukua city siwezi shangaa πππHatuna shida hata nyumbu akifungwa si tunasubiri salah aende afcon liva lazima ayumbe tu π
dah ! Unaanza kutuombea dua mbaya tena kaka πIla nyinyi mnaweza shindana na liva kombe akachukua city siwezi shangaa πππ
Unataka tuungane HAIWEZEKAN πππdah ! Unaanza kutuombea dua mbaya tena kaka π
Bora hata angeenda kwa yule mkali wa kupuliza mtungi wa gesi na kuujaza bila tabu.Ameshaliwa hela ya sadaka πππ