Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
ni wapuuzi sana aiseeDah hata mim nilikuwa natafakari hili suala,nmepata meseji yao nilikuwa nataka niwapigie voda kuwaelekeza hii dharau walionionyesha..
Hat kam wanatak kufany promo si kwa njia za kishenzi kam hizi sasaHivi TCRA huwa hawawafuatilii huu uhuni!?
Nami nimepokea dakika kama ishirini zilizopita.
Mkuu ndo nilitaka kuja kuanzisha thread kuhusu hawa jamaa, dakika 5 zilizopita wamenitumia hiyo sms .. Nimekereka sana...Hizi ni dharau
Mimi huwa wananishawishi nijiunge nao kila siku but nimewapotezea tu. Ila leo hawajanitumia msg.Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,
Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.
Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani
View attachment 2756936
Hii ni kero nashangaa ghafla tu notification inasema "Ni upumbavu ...,Nikaanza kuwaza nan ananitukana,kucheki iv ni mambo ya kubeti aaahMkuu ndo nilitaka kuja kuanzisha thread kuhusu hawa jamaa, dakika 5 zilizopita wamenitumia hiyo sms .. Nimekereka sana...Hizi ni dharau