Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
niliwatafuta voda, sitaki kutumiwa sms za GO bet, wamenitumia no zao niwapigie. Hii imekaaje kitaalam
Wameshauza taarifa zako mkuu, hivyo wanaona hawana haki tena. Kimsingi TCRA walisha kataza haya mambo ya kututumia wateja taarifa za matangazo hovyo hovyo.