Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,

Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.

Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani

View attachment 2756936
Toka lini mtu anayebeti akawa si Mpumbavu? Ha ha ha ha
 
Hii nchi nyie! 😂😂😂

mi mbona sijatumiwa nicheke!

Anyways hii nchi tungekuwa tunashitakiana kuna watu wangeshatajirika.
 
Wapumbavu wenyewe, Kwanza haya makampuni ya ubashiri wanatoa wapi namba zetu?? Na nani anatoa bila idhini yetu?
Msg moja wameandika hivi, nanukuu; “Utakuwa mtu wa ajabu mno kutokucheza ………”

😂😂😂😂

Aisee nimecheka!
 
Na bado mtaendelea kubet na GoBet
 
Hawa jamaa sijui tumewakosea nini
Screenshot_20230922-231447.jpg
 
Dah hata mim nilikuwa natafakari hili suala, nmepata meseji yao nilikuwa nataka niwapigie voda kuwaelekeza hii dharau walionionyesha..
Mie mwenyew wamenitukana hapa.. bado natafuta cha kuwajibu.
nguliza mguu mmoja ndani kwenye utajili
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,

Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.

Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani

View attachment 2756936
Umeniwahi mkuu! Mwenyewe nilitaka nililete huku, Message imeingia heading nachungulia "NI UPUMBAVU...." Nikajiuliza nimemkosea nani tena au mimeharibu wapi? 😄 kuangalia kumbe ni hawa wapuuzi! Kweli hali ngumu mpaka wanatumia lugha nzito nzito, Tujiunge tumtafute mwanasheria mzuri hawa wahuni wa GOBET watulipe kwa udhalilishaji huu!

View attachment 2756952
😄😄😄 natamani nipate hii msg kwa udi na uvumba.
Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,

Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.

Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani

View attachment 2756936
daah!! Nawaoneeni wivu sana. Mmeshatajili.. mkitoka msun8sahau. Angalau niwauzieni mashamba
 
Back
Top Bottom