RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Wanatumia nguvu kushawishi watu kujiunga nao....wahusika mkalitizame hilo...Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,
Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.
Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani
View attachment 2756936
Watusaidie mitaji ya kubetia waone[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii nchi ina raha sana, watu wanakukasirikia kisa hutaki kubet
Unaweza reply hiyo sms yao. Kama wametumia namba inayo reply, wafungukie na wewe.Mie mwenyew wamenitukana hapa.. bado natafuta cha kuwajibu.