Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

Kwani hii si hata mhe rais inaweza kuwa ametumiwa pia?maana si wanafowrd kwa namba zote tu......
Ngoja tuone
 
Eti ni upumbavu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
niliwatafuta voda, sitaki kutumiwa sms za GO bet, wamenitumia no zao niwapigie. Hii imekaaje kitaalam
 
🀣🀣🀣 ni wakati sasa mavi yamegeuka kuwa mboga
 
Hawana akili wanafosi πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Wapumbavu wenyewe, Kwanza haya makampuni ya ubashiri wanatoa wapi namba zetu?? Na nani anatoa bila idhini yetu?

Hivi si walitunga sheria za taarifa za wateja. Mambo ya data security. Huu ni uhuni kutumia taarifa binafsi za watu.

Na ukute wengi waliopta kwa namna moja ama nyingine wanabet[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…