Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
niliwatafuta voda, sitaki kutumiwa sms za GO bet, wamenitumia no zao niwapigie. Hii imekaaje kitaalam
Hatari sana.Wapo bize kupandisha bei ya bando
Nimekerwa san na hii Dharau hawa inabid washtakiweYaani hapa wanamaanisha ambao hawabeti kwao ni wapumbavu.
Hii haikubaliki kabisa, tuungane tuwashitaki.
Kweli Mkuu au ??Hii kampuni ni ya Nape Nnauye
kabsa hapa kuna Harufu ya Hela hapa Tukiwa seriousUmeniwahi mkuu! Mwenyewe nilitaka nililete huku, Message imeingia heading nachungulia "NI UPUMBAVU...." Nikajiuliza nimemkosea nani tena au mimeharibu wapi? 😄 kuangalia kumbe ni hawa wapuuzi! Kweli hali ngumu mpaka wanatumia lugha nzito nzito, Tujiunge tumtafute mwanasheria mzuri hawa wahuni wa GOBET watulipe kwa udhalilishaji huu!
View attachment 2756952
Hata miye wameniita mpumbavu,teh teh tehIvi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane,
Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu kudharauliana kiasi hiki.
Natamani apatikane Wakili mjuzi wa Sheria hii kampuni ibananishwe Kizimbani
View attachment 2756936
Walikuwa wananitumia kila siku Mesej mara ohh tutakupa Jero la Bure ukijiunga mara Tuna odds nzuri..... Lakin nikawa nawapuuza sijajiunga,Hata miye wameniita mpumbavu,teh teh teh
[emoji1787]Walikuwa wananitumia kila siku Mesej mara ohh tutakupa Jero la Bure ukijiunga mara Tuna odds nzuri..... Lakin nikawa nawapuuza sijajiunga,
Naona leo wameamua Kunishushia Tusi kabsa
Na hio ndio ukweli wenyeweWapumbavu ni wale waliotumiwa junbe hy
Emu taja hilo tusi au ndio lile mmetuona NYANINimewandikia Email Nimewaambia WAPUMBAVU ni wenyewe.. nikawaongezea na TUSI jingine ambalo naamini hawajawahi kulisikia.
Hilo TUSI hata Mods watanila BAN bila utetezi.. TUSI tu linatumia MB 20 kupanda ktk serverEmu taja hilo tusi au ndio lile mmetuona NYANI
Teh teh ulitaka kujitoa kwenye kundi la sisi wapumbavu ambao hatutumii kampuni lao.Mimi baada ya tusi nmefata link yao nmegundua hawakati kodi kwenye kampuni yao