Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

Toka lini mtu anayebeti akawa si Mpumbavu? Ha ha ha ha
 
Hii nchi nyie! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mi mbona sijatumiwa nicheke!

Anyways hii nchi tungekuwa tunashitakiana kuna watu wangeshatajirika.
 
Wapumbavu wenyewe, Kwanza haya makampuni ya ubashiri wanatoa wapi namba zetu?? Na nani anatoa bila idhini yetu?
Msg moja wameandika hivi, nanukuu; β€œUtakuwa mtu wa ajabu mno kutokucheza ………”

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee nimecheka!
 
Hongera kwa majokeri wooote Tanganyika
 
Na bado mtaendelea kubet na GoBet
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ natamani nipate hii msg kwa udi na uvumba.
daah!! Nawaoneeni wivu sana. Mmeshatajili.. mkitoka msun8sahau. Angalau niwauzieni mashamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…