Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla

ISAAC NEWTON
1741246340501.png

NICOLAS TESLA
1741246323458.png

Newton's law of motion, cute! All over the world.
Teknolojia ya vyombo vyote vinavyotembea iwe chini ya maji, ardhini, au angani ni ugunduzi wa huyu giant.

Tesla yeye ni umeme wa AC na alianza kutumia REMOTE CONTROL kipindi kirefu nyuma, kabla hata ya watu wa Intelligence, CIA and the alike hawajaanza kuzitumia. Pia umeme usiotumia waya (wireless electricity)
 
What about Einstein and his Relativity Theory
Hii ina application kwenye Space Exploration; kwa wale wanaotamani kuhamia sayari ya Mars au kwingineko
Mama yangu ambaye alikuwa anasafiri kwa mguu kutoka kijiji kimoja kwenda kingine kwa sababu hapakuwa na Baiskeli, hii haina msaada sana kwake
 
Wanasema dini zao ndio zimeleta ubumbuzi. Ukiuliza wapi hawana pa kuonyesha. Watafute youtube.
Wako sahihi; uvumbuzi wao huwezi kuuona kwa macho. Ukitaka uuthibitishe kwa macho ni lazima utawaona kuwa ni waongo; Viziw wanasikia, Viwete wanatembea huo ndiyo uvumbuzi wao na wako sahihi kabisa
 
Kwenye kila field kuna mbabe wake..

Cosmology
Physics
Biology
Chemistry
Mathematics

Etc...
Kwenye science uvumbuzi ndio mkubwa sio mtu....

Unless unataka tu kuwa recognize hapa...

Ila wapo watu wamepiga kazi...
 
Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla

ISAAC NEWTON

NICOLAS TESLA
Albert Einstein
Who is the most celebrated scientist?

Famous Scientists | Names, Discoveries & Quotes - Lesson ...

It goes without saying that one of the most famous scientists is none other than Albert Einstein, a German physicist famous for his development of the general theory of relativity in the early 1900s. This, and other works of his, contributed much to our understanding of space, time, physics, and astronomy.
 
Ni kweli kabisa. Mimi naongelea swala la kwamba tunachotumia leo hii katika maisha yetu ya kila siku kilivumbuliwa au kilisababishwa na akina nani.

Still, Einstein alitumia Newton Laws ku-deveop idea zake unazozisifia. Eistien ni father of Space Science, wakati Isaac Newton Classical Mechanics ambayo ndiyo inaoyendesha maisha yetu hadi leo hii

Hayo mambo ya space ni ya watu kama akina Ellom Musk
 
  • Thanks
Reactions: K11
Albert Einstein
Who is the most celebrated scientist?

Famous Scientists | Names, Discoveries & Quotes - Lesson ...

It goes without saying that one of the most famous scientists is none other than Albert Einstein, a German physicist famous for his development of the general theory of relativity in the early 1900s. This, and other works of his, contributed much to our understanding of space, time, physics, and astronomy.
Mbali na hayo, Einstein alipata Nobel Prize ya Physics mwaka 1921, iliyotokana na theory yake kwenye Photo-electric effect, theory ambayo imesabbisha tukaweza kupata umeme wa Solar.

Bila theory hii, umeme wa Solar usingekuwepo na pia International Space Station (ISS) iliyopo huko juu angani ikiwa pamoja na watu, kwa ajili ya utafiti wa anga isingekuwepo kwa sababu huwa inatumia umeme wa Solar
 
Namba 1 ni LEONARDO DA VINCI, huyu ni master wa ma master ila Father wa Umeme ni Michael Faraday Tesla alikuja tu kuendeleza nondo za mwamba.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Yule mwamba wa kila kitu, geog, physics, maths, biology etc anakaa nafasi gani hapo? Galileo nadhani!
Huyu ndiye aliyempandisha mabegani Isaac Newton akaweza kusema yale aliyowahi kuyasema. Bila Isaac Newton, kufuata baada ya Galileo, bado tulikuwa hatujatoboa kwa kutumia yale mahesabu ya Galileo peke yake

Newton.s laws of motion ndiyo zile zilizomaliza kila kitu
 
Kwenye kila field kuna mbabe wake..

Cosmology
Physics
Biology
Chemistry
Mathematics

Etc...
Kwenye science uvumbuzi ndio mkubwa sio mtu....

Unless unataka tu kuwa recognize hapa...

Ila wapo watu wamepiga kazi...
Galileo Galilei alichimba msingi, akauacha ameumaliza halafu hawa wawili wakaja wakaukuta na kuanza kuujenga na kuukamilisha kabisa. Baada ya hapo wengine wote waliofuata wanapandisha kuta kwenda juu na hadi leo bado tunaendeea kupandisha kuta

Na kuta hizi zitaendekea kupandishwa mpaka siku Yesu anarudi
 
Back
Top Bottom