Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Galileo alichimba msingi kwenye Astrology..Galileo Galilei alichimba msingi, akauacha ameumaliza halafu hawa wawili wakaja wakaukuta na kuanza kuujenga na kuukamilisha kabisa. Baada ya hapo wengine wote waliofuata wanapandisha kuta kwenda juu na hadi leo bado tunaendeea kupandisha kuta
Na kuta hizi zitaendekea kupandishwa mpaka siku Yesu anarudi
Wapo waliochimba kwenye areas nyingine nyingi tu...
Waandishi wa habari ndio wana rank wana sayansi kwa ujumla ila kwenye sayansi kila Mmoja ana mchango wake....
Unamjua Gregor Mendel?
Michael Faraday?
Dmitry Mendeleev?