Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

Hakuvumbua silaha , ila alivumbua kitu special ambacho tunatumia kila siku, na baadae humo humo wengine wakaja tengeneza silaha

Yeye ndio mvumbuzi wa radio activity, ndani yake humo kwa matumizi ya kila siku kuna xray machines, radiation therapy (kwa wagonjwa wa cancer), nuclear power for electrical generation, smoke detectors
Soma kwanza post ya mtu niliyemjibu, kabla hujaingia kwenye topic ya silaha. Nani kasema nani kavumbua silaha?
 
Hakuvumbua silaha , ila alivumbua kitu special ambacho tunatumia kila siku, na baadae humo humo wengine wakaja tengeneza silaha

Yeye ndio mvumbuzi wa radio activity, ndani yake humo kwa matumizi ya kila siku kuna xray machines, radiation therapy (kwa wagonjwa wa cancer), nuclear power for electrical generation, smoke detectors
Hakuwa peke yake, alikuwa na mume wake anaitwa Pierre Curie. Curie ni jina la mume wake
 
Ni wapi wanasayansi wamerejea hiyo skrini ya mtume kwamba wazo lao lilianzia hapo?
Kama ujuavyo wanasayansi wengi hawaamini hata uwepo wa mungu,lkn viumbe au vitu tuvionavyo na tusivyoviona,wanavitumia kwa kupata wazo,wanavifanyia uchunguzi na hatimae kutengeneza kitu,,hivyo hawawezi onyesha wamerejea wapi.
 
Wewe una ugonjwa wa akili wa UDINI, subiri waje waseme ndio uwashukie, sasa hakuna aliyesema unaanza kuleta udini.. Haya mambi ya udini yatawauwa. Dini tumezikuta na tutaziacha, nje ya hapa jf tuna washikaji wa dini zote mpaka wasioamini mungu, na tunaishia safi, ila humu jf udini ni hatari sana
 
Mkuu Makanyaga , Binafsi ninawaelewa sana hawa wateule, wametusaidia mno kurahisisha maisha ya leo.

Hawa unawezahisi ni Allien na siyo wana wa Adam.

1.Newton
2. Tesla
3. Euler

4. Cauchy
(Angalia avatar yangu, mtu pekee ninayemuelewa zaidi japo alikuwa mtukutu na mtata sana ktk maisha ya kawaida)

5. Davinci(Super genius)

6.Pasteur

7. Al-Khwarizimi

8. Marie Curie

9.Martin Cooper

10.Charles Babbage
 
Kusema kweli hakuna mwanasayansi aliyevumbua kitu chochote duniani. Wanasayansi wote waliopita, waliopo na watakaokuja wanacopy yale ambayo tayari Quran na Mtume Muhamad (pbuh) walishatabiri tangu 652.

Hata Quantum Physics yote ipo kwenye Quran nu.kta kwa nukta.
Niko pale👉🏾 Nawasubiri wabishi mpinge😅😅
 
Wewe una ugonjwa wa akili wa UDINI, subiri waje waseme ndio uwashukie, sasa hakuna aliyesema unaanza kuleta udini.. Haya mambi ya udini yatawauwa. Dini tumezikuta na tutaziacha, nje ya hapa jf tuna washikaji wa dini zote mpaka wasioamini mungu, na tunaishia safi, ila humu jf udini ni hatari sana
Huyo mjinga achana naye, mimi ni Mkristo ila siafikiani na upuuzi wake huo wa udini.

Kuna mtu anaitwa Al -khwarizimi ni great Mathematician from Asia ambaye mchango wake unazidi wa wazungu wengi.

Bila yeye tusingekuwa na zero (0) mawazo yetu yangeishia kwenye natural numbers bila kuwa na whole numbers, pia kwa uchache katufanyia kazi ya algebra, digit (algorithm), Geography, Astronomy n.k
 
In a letter to Robert Hooke in 1675, Isaac Newton made his most famous statement: “If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants”.

This statement is now often used to symbolize scientific progress.Robert Merton examined the origin of this metaphor in his On the Shoulders of Giants(Merton, 1965). The shoulders-of-giants metaphor can be traced to the French philosopher Bernard of Chartres, who said that we are like dwarfs on the shoulders of giants, so that we can see more than they, and things at a greater distance, not by virtue of any sharpness of sight on our part, or any physical distinction, but because we are carried high and raised up by their giant size.

"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants.

Isaac Newton (1642–1727)"

Aiseee. Kwahiyo hapo dini ndio ikawa imetengeneza screen au imegundua au? Hiyo screen ya mtume ilikua LCD, LED au ya Chogo?
😂😂😂 Mwamba ana stori za pwagu na pwaguzi yaani ukikaa vibaya anakuchota mazima mazima,sasa cha ajabu hiyo screen haiku gunduliwa uko uarabuni ndio unabaki umejichokea na kuanza kujiuliza hayo mengine yatakuwa na ukweli upi sasa!!!🤭🤭😂😂😂
 
Huyu mwamba alikuwa mtu na nusu
Kuna makala moja iliandikwa na Mathematician ambaye ni Genius (Prof Niels Abel kijana aliyekuwa prof ana umri mdogo zaidi), akisema " Cauchy is mad and there is nothing that can be done about him, although, right now, he is the only one who knows how mathematics should be done.”
 
Huyo mjinga achana naye, mimi ni Mkristo ila siafikiani na upuuzi wake huo wa udini.

Kuna mtu anaitwa Al -khwarizimi ni great Mathematician from Asia ambaye mchango wake unazidi wa wazungu wengi.

Bila yeye tusingekuwa na zero (0) mawazo yetu yangeishia kwenye natural numbers bila kuwa na whole numbers, pia kwa uchache katufanyia kazi ya algebra, digit (algorithm), Geography, Astronomy n.k
Watu wenye udini siwapendi haijalishi ni dini gani.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Nawasubiri wale watakaokuja kusema Mwambposa, Gwajima pamoja na mzee wa upako ndio waliobadilisha dunia siwaoni.
 
Back
Top Bottom