Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

Hawa hapa wana-Sayansi wawili wakubwa ambao ni chanzo cha maendeleo yote yailyopo hapa duniani leo

kwani meli kizimkazi il iwakuta
BILA NEWTON MELI ISINGEWEZA KUTEMBEA. VYOTE vinavyotembea IWE NI ardhini, CHINI YA ARDHI, MAJINI AU angani, ni KAZI YA Isaac Newton
 
😂😂😂 Mwamba ana stori za pwagu na pwaguzi yaani ukikaa vibaya anakuchota mazima mazima,sasa cha ajabu hiyo screen haiku gunduliwa uko uarabuni ndio unabaki umejichokea na kuanza kujiuliza hayo mengine yatakuwa na ukweli upi sasa!!!🤭🤭😂😂😂
Na utakuta wamekaa kwemye kusanyiko la dini wanalishana matango pori kama haya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haha.

Nilipokuwa O level nilikuwa najiita Newton Boy.

Jamaa anajua sana.

Nilikuwa nakesha na Nelcon kusolve mafomula.
 
Back
Top Bottom