Teknolojia ya vyombo vyote vinavyotembea iwe chini ya maji, ardhini, au angani ni ugunduzi wa huyu giant.Newton's law of motion, cute! All over the world.
Watu wa dini nao wameibuka siku hizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
NICOLAS TESLA
Hii ina application kwenye Space Exploration; kwa wale wanaotamani kuhamia sayari ya Mars au kwinginekoWhat about Einstein and his Relativity Theory
Wanasema dini zao ndio zimeleta ubumbuzi. Ukiuliza wapi hawana pa kuonyesha. Watafute youtube.Ebu fafanua kidogo
Wako sahihi; uvumbuzi wao huwezi kuuona kwa macho. Ukitaka uuthibitishe kwa macho ni lazima utawaona kuwa ni waongo; Viziw wanasikia, Viwete wanatembea huo ndiyo uvumbuzi wao na wako sahihi kabisaWanasema dini zao ndio zimeleta ubumbuzi. Ukiuliza wapi hawana pa kuonyesha. Watafute youtube.
Albert EinsteinHawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
NICOLAS TESLA
Ni kweli kabisa. Mimi naongelea swala la kwamba tunachotumia leo hii katika maisha yetu ya kila siku kilivumbuliwa au kilisababishwa na akina nani.Albert Einstein
Who is the most celebrated scientist?
It goes without saying that one of the most famous scientists is none other than Albert Einstein, a German physicist famous for his development of the general theory of relativity in the early 1900s. This, and other works of his, contributed much to our understanding of space, time, physics, and astronomy.
Mbali na hayo, Einstein alipata Nobel Prize ya Physics mwaka 1921, iliyotokana na theory yake kwenye Photo-electric effect, theory ambayo imesabbisha tukaweza kupata umeme wa Solar.Albert Einstein
Who is the most celebrated scientist?
It goes without saying that one of the most famous scientists is none other than Albert Einstein, a German physicist famous for his development of the general theory of relativity in the early 1900s. This, and other works of his, contributed much to our understanding of space, time, physics, and astronomy.
Huyu ndiye aliyempandisha mabegani Isaac Newton akaweza kusema yale aliyowahi kuyasema. Bila Isaac Newton, kufuata baada ya Galileo, bado tulikuwa hatujatoboa kwa kutumia yale mahesabu ya Galileo peke yakeYule mwamba wa kila kitu, geog, physics, maths, biology etc anakaa nafasi gani hapo? Galileo nadhani!
Galileo Galilei alichimba msingi, akauacha ameumaliza halafu hawa wawili wakaja wakaukuta na kuanza kuujenga na kuukamilisha kabisa. Baada ya hapo wengine wote waliofuata wanapandisha kuta kwenda juu na hadi leo bado tunaendeea kupandisha kutaKwenye kila field kuna mbabe wake..
Cosmology
Physics
Biology
Chemistry
Mathematics
Etc...
Kwenye science uvumbuzi ndio mkubwa sio mtu....
Unless unataka tu kuwa recognize hapa...
Ila wapo watu wamepiga kazi...