Galileo alichimba msingi kwenye Astrology..Galileo Galilei alichimba msingi, akauacha ameumaliza halafu hawa wawili wakaja wakaukuta na kuanza kuujenga na kuukamilisha kabisa. Baada ya hapo wengine wote waliofuata wanapandisha kuta kwenda juu na hadi leo bado tunaendeea kupandisha kuta
Na kuta hizi zitaendekea kupandishwa mpaka siku Yesu anarudi
Ndio ni kweli,hata wanasayansi wameprove hivyo, tofauti ni kwamba katika maandiko ya kitabu kitakatifu (Quran), uenda na imani nyinginezo pia yamo,yakwamba maandiko yako kimhutasari zaidi,ni mpaka ujue kuvitafsiri vitabu hivyo kujua kilichomo, mfano inaelezwa kwa mjibu wa wanazuoni mtume alipopelekwa mbinguni na brac na kwa mda mfupi akarudi duniani, katika kusimulia kile alichokiona huko mungu alimuwekea mbele yake mfano wa screen,akawa anapata picha nakuelezea vyema walomsikiliza,sasa ukiangalia leo hii vitu kama sinema,tv zimetokana na kile ambacho mungu alikifanya kwa mtume nk nk,na kuna mengi mengine katika hicho kisa,wana sayansi wanatazamia huko sana tu,wanaiga ambayo mungu alishatengeneza zamaani enzi na enzi, tofauti ni kwamba katika imani maandiko yako vitabuni, wanasayansi wao wametekeleza tu kivitendo kitu kikaonekana,kinashikika nk nkWanasema dini zao ndio zimeleta ubumbuzi. Ukiuliza wapi hawana pa kuonyesha. Watafute youtube.
Msimsahau Ada Lovelace na Charles BarbageHawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
NICOLAS TESLA
Wapo wengi hata wewe unaweza ukawa mmoja wao; waliofuata wote walianza kuweka tofali, msingi ukiwa tayari umejengw na hao wawili, huku wa kwanza kabisa aliyeuchimba msingi na akauacha bila kuujenga akiwa ni Galileo GalileiMsimsahau Ada Lovelace na Charles Barbage
Ni kweli mkuu, but kila mwanasayansi ana mchango wake kwenye Dunia tulio nayo sana e.g mtu kama Thomas Edison bila yeye tungekuwa hatuna bulb Leo hiiWapo wengi hata wewe unaweza ukawa mmoja wao; waliofuata wote walianza kuweka tofali, msingi ukiwa tayari umejengw na hao wawili, huku wa kwanza kabisa aliyeuchimba msingi na akauacha bila kuujenga akiwa ni Galileo Galilei
Mwaka aliofariki Galileo Galilei (Italy) ndiyo mwaka aliozalwa Isaac Newton (England)
Takriban miaka 120 baada yau kufariki Isaac Newton, Nicolas Tesla akazaliwa mwaka 1856, akifuatiwa na Albert Einstein mwaka 1879 na hatimaye Niels Bohr (Denmark) mwaka 1885, ikiwa ni miaka sita tu baada ya kuzaliwa Albert Einstein
Aise kweli umeme ni kila kituVipi kama tusingekuwa na umeme?
Marrie Curie mchango wake kwenye nuclear unajulikanaHawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
NICOLAS TESLA
Aiseee. Kwahiyo hapo dini ndio ikawa imetengeneza screen au imegundua au? Hiyo screen ya mtume ilikua LCD, LED au ya Chogo?Ndio ni kweli,hata wanasayansi wameprove hivyo, tofauti ni kwamba katika maandiko ya kitabu kitakatifu (Quran), uenda na imani nyinginezo pia yamo,yakwamba maandiko yako kimhutasari zaidi,ni mpaka ujue kuvitafsiri vitabu hivyo kujua kilichomo, mfano inaelezwa kwa mjibu wa wanazuoni mtume alipopelekwa mbinguni na brac na kwa mda mfupi akarudi duniani, katika kusimulia kile alichokiona huko mungu alimuwekea mbele yake mfano wa screen,akawa anapata picha nakuelezea vyema walomsikiliza,sasa ukiangalia leo hii vitu kama sinema,tv zimetokana na kile ambacho mungu alikifanya kwa mtume nk nk,na kuna mengi mengine katika hicho kisa,wana sayansi wanatazamia huko sana tu,wanaiga ambayo mungu alishatengeneza zamaani enzi na enzi, tofauti ni kwamba katika imani maandiko yako vitabuni, wanasayansi wao wametekeleza tu kivitendo kitu kikaonekana,kinashikika nk nk
Wanasayansi walipata wazo,wakalifanyia kazi,ndo wakatengeneza muundo watakavyo.Aiseee. Kwahiyo hapo dini ndio ikawa imetengeneza screen au imegundua au? Hiyo screen ya mtume ilikua LCD, LED au ya Chogo?
Uko sahihi ila inaonyesha hujakielewa vizuri kichwa cha thread hii au content yakeGalileo alichimba msingi kwenye Astrology..
Wapo waliochimba kwenye areas nyingine nyingi tu...
Waandishi wa habari ndio wana rank wana sayansi kwa ujumla ila kwenye sayansi kila Mmoja ana mchango wake....
Unamjua Gregor Mendel?
Michael Faraday?
Dmitry Mendeleev?
Si unaanza na chakula kwanza halafu ndiyo silaha za kujilinda na maadui zinafuata? We unawezaje kutengeneza silaha wakati ndani huna chakula? Mimi naongelea waliochimbua maisha basic kwanza halafu baada ya hapo ndiyo mambo mengine yakafuata, madawa na silaha na vitu vingineMarrie Curie mchango wake kwenye nuclear unajulikana
Ni wapi wanasayansi wamerejea hiyo skrini ya mtume kwamba wazo lao lilianzia hapo?Wanasayansi walipata wazo,wakalifanyia kazi,ndo wakatengeneza muundo watakavyo.
Hakuvumbua silaha , ila alivumbua kitu special ambacho tunatumia kila siku, na baadae humo humo wengine wakaja tengeneza silahaSi unaanza na chakula kwanza halafu ndiyo silaha za kujilinda na maadui zinafuata? We unawezaje kutengeneza silaha wakati ndani huna chakula? Mimi naongelea waliochimbua maisha basic kwanza halafu baada ya hapo ndiyo mambo mengine yakafuata, madawa na silaha na vitu vingine
Acha uwongo na elimu yako hiyo ya kukaliliHawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
NICOLAS TESLA
Huwa nina mkubali Galileo Galilei.Wapo wengi hata wewe unaweza ukawa mmoja wao; waliofuata wote walianza kuweka tofali, msingi ukiwa tayari umejengw na hao wawili, huku wa kwanza kabisa aliyeuchimba msingi na akauacha bila kuujenga akiwa ni Galileo Galilei
Mwaka aliofariki Galileo Galilei (Italy) ndiyo mwaka aliozalwa Isaac Newton (England)
Takriban miaka 120 baada yau kufariki Isaac Newton, Nicolas Tesla akazaliwa mwaka 1856, akifuatiwa na Albert Einstein mwaka 1879 na hatimaye Niels Bohr (Denmark) mwaka 1885, ikiwa ni miaka sita tu baada ya kuzaliwa Albert Einstein
Hamna kitu unaelewa ,Uko sahihi ila inaonyesha hujakielewa vizuri kichwa cha thread hii au content yake
Hapana; hii story huwa ni scam na inamhusu Isaac Newton na si GalileoHuwa nina mkubali Galileo Galilei.
Nasikia eti kuna wakati alikuwa amesimama chini mwembe,embe likadondoka likampiga kichwani.Mwamba akaanza kujiuliza maswali mengi kichwani kwake ni kwanini lile embe lilidondoka kuelekea chini? Kwani embe halikudondoka kuelekea juu?. Alikuwa akiwa kanisani,wengine wanasali,yeye Galileo Galilei yuko busy kusoma movement ya padri akiwa anapuliza chetezo. Baadaye akaanza ku-develop kanuni za gravity.
Huwa ninaipenda hii quote ya Galileo Galilei,"Biblia iliandikwa kwa ajili ya watu wenye akili."