Soma kwanza post ya mtu niliyemjibu, kabla hujaingia kwenye topic ya silaha. Nani kasema nani kavumbua silaha?Hakuvumbua silaha , ila alivumbua kitu special ambacho tunatumia kila siku, na baadae humo humo wengine wakaja tengeneza silaha
Yeye ndio mvumbuzi wa radio activity, ndani yake humo kwa matumizi ya kila siku kuna xray machines, radiation therapy (kwa wagonjwa wa cancer), nuclear power for electrical generation, smoke detectors
Hakuwa peke yake, alikuwa na mume wake anaitwa Pierre Curie. Curie ni jina la mume wakeHakuvumbua silaha , ila alivumbua kitu special ambacho tunatumia kila siku, na baadae humo humo wengine wakaja tengeneza silaha
Yeye ndio mvumbuzi wa radio activity, ndani yake humo kwa matumizi ya kila siku kuna xray machines, radiation therapy (kwa wagonjwa wa cancer), nuclear power for electrical generation, smoke detectors
Kama ujuavyo wanasayansi wengi hawaamini hata uwepo wa mungu,lkn viumbe au vitu tuvionavyo na tusivyoviona,wanavitumia kwa kupata wazo,wanavifanyia uchunguzi na hatimae kutengeneza kitu,,hivyo hawawezi onyesha wamerejea wapi.Ni wapi wanasayansi wamerejea hiyo skrini ya mtume kwamba wazo lao lilianzia hapo?
Blah blah hao matapeli tuWatu wa dini nao wameibuka siku hizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mjinga achana naye, mimi ni Mkristo ila siafikiani na upuuzi wake huo wa udini.Wewe una ugonjwa wa akili wa UDINI, subiri waje waseme ndio uwashukie, sasa hakuna aliyesema unaanza kuleta udini.. Haya mambi ya udini yatawauwa. Dini tumezikuta na tutaziacha, nje ya hapa jf tuna washikaji wa dini zote mpaka wasioamini mungu, na tunaishia safi, ila humu jf udini ni hatari sana
kwani meli kizimkazi il iwakutaHawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
View attachment 3260963
NICOLAS TESLA
View attachment 3260962
Huyu mwamba alikuwa mtu na nusuCauchy
😂😂😂 Mwamba ana stori za pwagu na pwaguzi yaani ukikaa vibaya anakuchota mazima mazima,sasa cha ajabu hiyo screen haiku gunduliwa uko uarabuni ndio unabaki umejichokea na kuanza kujiuliza hayo mengine yatakuwa na ukweli upi sasa!!!🤭🤭😂😂😂Aiseee. Kwahiyo hapo dini ndio ikawa imetengeneza screen au imegundua au? Hiyo screen ya mtume ilikua LCD, LED au ya Chogo?
Kuna makala moja iliandikwa na Mathematician ambaye ni Genius (Prof Niels Abel kijana aliyekuwa prof ana umri mdogo zaidi), akisema " Cauchy is mad and there is nothing that can be done about him, although, right now, he is the only one who knows how mathematics should be done.”Huyu mwamba alikuwa mtu na nusu
Watu wenye udini siwapendi haijalishi ni dini gani.Huyo mjinga achana naye, mimi ni Mkristo ila siafikiani na upuuzi wake huo wa udini.
Kuna mtu anaitwa Al -khwarizimi ni great Mathematician from Asia ambaye mchango wake unazidi wa wazungu wengi.
Bila yeye tusingekuwa na zero (0) mawazo yetu yangeishia kwenye natural numbers bila kuwa na whole numbers, pia kwa uchache katufanyia kazi ya algebra, digit (algorithm), Geography, Astronomy n.k