πππ Mwamba ana stori za pwagu na pwaguzi yaani ukikaa vibaya anakuchota mazima mazima,sasa cha ajabu hiyo screen haiku gunduliwa uko uarabuni ndio unabaki umejichokea na kuanza kujiuliza hayo mengine yatakuwa na ukweli upi sasa!!!π€π€πππ