Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

hujasema kama utaratibu upi wa chama chako ulitumika kumpitisha kuwa mgombea huyo bibi yako.
alichukua fomu wapi na lini??
Wewe hunaga jambo kwa hiyo huu ndiyo walaka uliojitekenya na kuandaa huu
 
Kwani kuna dhamabi gani kidemokrasia kuruhusu wana CCM wengine nao watie nia???
 
Ulimsikia vizuri General Mabeyo alipokuwa akizungumza?
 
Kwani kuna dhamabi gani kidemocrasia kuruhusu wana CCM wengine nao watie nia???
Wana CCM tulishaamua kuwa mgombea wetu ni Mheshimiwa Mama yetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kama wewe una mgombea wako basi nenda chama kingine au toka hadharani na mgombea wako wa mfukoni
 
Mkuu hata mimi niko kama wewe juu ya nyuzi za huyu chawa, sijawahi kusoma uzi wake hata mmoja zaidi ya kupitia comment kadhaa za Wachangiaji..
 
Hongera Sana Kwa Maono Yako ya Karibu.
 
Unaweza ukawa na macho na masikio lakini ukawa ni kipofu wa akili na macho.
 
Maneno Yako mazuri ila wote si ni CCM?Na Uhaini wa Lissu ndio siwaelewi kabisa!
 
Wana CCM tulishaamua kuwa mgombea wetu ni Mheshimiwa Mama yetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kama wewe una mgombea wako basi nenda chama kingine au toka hadharani na mgombea wako wa
Democrzay
 
Wanatapatapa tu km misukule hawana lolote wanaweza kufanya. Mbn sahv wanajificha km nguchiro km kwl ni watu wa maana. Mbwa koko tu hao watabakia kubweka tu
 
Abduli huko uko salama?
 
Mzalendo hawezi kuuza rasilimali za taifa lake kwa waarabu. Mbona hajauza za Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…