Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.

Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.
Screenshot_20220622-142331.jpg
 
Wapewe tena rivers

Mimk kama msemaji wa rivers nasema welcome back
 

Kila La Heri Yanga Kwakuwa Mnawakilisha Taifa La Tanzania

 
Back
Top Bottom