Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

Kazi itakuwa pevu iwapo wataangukia kwa
Red Arrows
Cape town city
Asec Mimosas
Asante Kotoko
Itakuwa mbaya zaidi wakiangukia kwa

Cape town City
Asante Kotoko

Na kwajinsi ninavyoona ni lazima wapelekwe Ghana , Asante kotoko.
 
Natamani sana Simba na Yanga zote zitinge Group stage, kisha zipangwe kundi moja kama msimu huu ilivyotokea kwa timu za Libya
Hiyo game hata wakiweka kiingilio cha chini kiwe 20K uwanja utajaa tu.
 
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.

Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.View attachment 2268806

Watapigwa nje ndani hadi warushe mimaji
 
Yanga hii Tena bila kuongeza usajili wowote wamlete yoyote atakalishwa mapema sana.
 
Mbumbumbu fc chagueni timu yoyote mnayoina Kali muwaandikie Caf Ili ipangwe kucheza na Yanga muone soka linavyo tandikwa.
 
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.

Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.View attachment 2268806
Hawa ndio underdogs ambao mmojawao ataanza mtoano dhidi ya Yanga CAF champions?

Vv
 
Mabeki wa yanga mechi mbili wameruhusu goal tatu ngoja wakaisome namba.
 
Kwa kikosi hiki cha sasa tunaomba tuanze na Bingwa mtetezi wa klabu bingwa afrika ili kazi ya kumvua huo ubingwa tuifanye mapema

Kabla ya kwenda kulichukua mwezi wa tano
Mjitahidi mfaulu hiyo CHEKECHEA! Mwenzenu haanzii CHEKECHEA kama nyie! Sasa mkutanie wapi?
 
Back
Top Bottom