Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Nijilalie zangu mapema Ili mwezi wa nane ufike haraka..nione utopolo wanavo squirtishwa na wababe nje ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi itakuwa pevu iwapo wataangukia kwa
Red Arrows
Cape town city
Asec Mimosas
Asante Kotoko
Kwa kikosi hiki cha sasa tunaomba tuanze na Bingwa mtetezi wa klabu bingwa afrika ili kazi ya kumvua huo ubingwa tuifanye mapema
Kabla ya kwenda kulichukua mwezi wa tano
Mechi mbili zipi unazo ziongelea? Kuwa specific. Kama ni kwenye ligi kuu msimu huu, Yanga ndiyo timu inayo ongoza kwa kuwa na clean sheet nyingi!Mabeki wa yanga mechi mbili wameruhusu goal tatu ngoja wakaisome namba.
Si River Utd wapewe tu mke wao tena🤣🤣🤣🤣Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.
Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.View attachment 2268806
Kwasababu preliminary round hakuna timu itakayotusumbua kabisa na ndio maana tunahitaji CAF wavunje kanuni zao watuletee hao mabingwa watetezi huku preliminary round ili tuwavue ubingwa wao mapema kabisaNdo maana mliambiwa mnaanzia first round na nyie mkashangilia,
Hata wewe hapa unatoa maombi ambayo hata hayawezekani maana bingwa hayupo preliminary
Sisi tuna imani tu na wanetu River United hawajawahi kutuangusha hao wapopoMbumbumbu fc chagueni timu yoyote mnayoina Kali muwaandikie Caf Ili ipangwe kucheza na Yanga muone soka linavyo tandikwa.
Kama kawaida River Utd ana kula chura wake as usual as normal.. 😜😜😜😜Kwasababu preliminary round hakuna timu itakayotusumbua kabisa na ndio maana tunahitaji CAF wavunje kanuni zao watuletee hao mabingwa watetezi huku preliminary round ili tuwavue ubingwa wao mapema kabisa
Usichoelewa hapo nini?
Labda al ahly ya buza huko au ya huko mbeya kiyela. Ila hapo hauchomoki huendelei mbele. Time will tell.Safari hii ata akija Ahly ataondolewa mapema sana. Kwa Sasa hakuna atakaye Baki salama.
Sasa hivi tunahitaji bingwa mtetezi ndio tucheze nae,huyo Rivers hata mtuamshe usiku anakufa goal za kutoshaKama kawaida River Utd ana kula chura wake as usual as normal.. 😜😜😜😜
Nimefurahi hii comment japo mi ni Yanga[emoji16]Vipers tu hapo mtu ulimi nje
Furahi huku ukiomba uepushiwe hicho kikombe, ..hakika nakwambia hao jamaa wapo njema kwanzia kiuchumiNimefurahi hii comment japo mi ni Yanga[emoji16]
Walishaingia Sana kabla ya Simba..kwa Mara ya kwanza kuiona timu ya tz group stage ni 1998kuingia Simba makundi na robo kunawafanya baadhi ya watu waone ni kazi rahisi. acha ibaki kama tamaa tu ila Yanga hawezi kuingia group stage CAFCL,yanga..kipindi hicho magroup mawili tu,timu 8