Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Safari hii mnapewa asec ndugu zenu kabisa hao.Waletwe tena hao RIVERS tuwapasue
Maneno ya Manara yangekuwa ndio pasi na mashuti uwanjani, hakuna timu ingechomoka[emoji1]Manara akija na "Return of the Unbeaten of NBC Tanzanian league, king of trophies A.K.A Buggati El triple King" hawachomoki hao Rivers
kuingia Simba makundi na robo kunawafanya baadhi ya watu waone ni kazi rahisi. acha ibaki kama tamaa tu ila Yanga hawezi kuingia group stage CAFCLNatamani sana Simba na Yanga zote zitinge Group stage, kisha zipangwe kundi moja kama msimu huu ilivyotokea kwa timu za Libya
Hawezi kucheza na Asec kwasababu hawatokuwa kwenye port mojaSafari hii mnapewa asec ndugu zenu kabisa hao.