Itakuwa mbaya zaidi wakiangukia kwaKazi itakuwa pevu iwapo wataangukia kwa
Red Arrows
Cape town city
Asec Mimosas
Asante Kotoko
Hiyo game hata wakiweka kiingilio cha chini kiwe 20K uwanja utajaa tu.Natamani sana Simba na Yanga zote zitinge Group stage, kisha zipangwe kundi moja kama msimu huu ilivyotokea kwa timu za Libya
Asante Kotoko ni Ghana mkuu,hata wakiangukia kwa River United tena kazi wanayoItakuwa mbaya zaidi wakiangukia kwa
Cape town City
Asante Kotoko
Na kwajinsi ninavyoona ni lazima wapelekwe Nigeria tena, Asante kotoko.
kumbe Bado mnawaota. Na watawapasua Tena nje ndani, nyambafuWaletwe tena hao RIVERS tuwapasue
Na kuwafungq Simba baasi. Hawana vision hawa vyuraGongowazi hawana mpango wa kujipanga kihivyo michuano ya Kimataifa hata wakitolewa mkondo wa kwanza kwao poa.
Wao shida yao hasa ni ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania tu yaani.
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.
Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.View attachment 2268806
Yes yaani hata tukipigwa tunaenda shirikishoMnawapa wenzenu presha mapema sana wakati nyinyi matop ten ya caf mmetulia mnasuburi hatua ya kwanza.
Ndoto nyingine ni mbaya sana jamani!!Kwa kikosi hiki cha sasa tunaomba tuanze na Bingwa mtetezi wa klabu bingwa afrika ili kazi ya kumvua huo ubingwa tuifanye mapema
Kabla ya kwenda kulichukua mwezi wa tano
Hawa ndio underdogs ambao mmojawao ataanza mtoano dhidi ya Yanga CAF champions?Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.
Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje ndani.View attachment 2268806
Tulia KOLOkumbe Bado mnawaota. Na watawapasua Tena nje ndani, nyambafu
Hapana tuanze na RIVERSSafari hii mnapewa asec ndugu zenu kabisa hao.
Unazungumzia mechi gani ndg mwandishi?Mabeki wa yanga mechi mbili wameruhusu goal tatu ngoja wakaisome namba.
Mjitahidi mfaulu hiyo CHEKECHEA! Mwenzenu haanzii CHEKECHEA kama nyie! Sasa mkutanie wapi?Kwa kikosi hiki cha sasa tunaomba tuanze na Bingwa mtetezi wa klabu bingwa afrika ili kazi ya kumvua huo ubingwa tuifanye mapema
Kabla ya kwenda kulichukua mwezi wa tano