Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

Sasa hivi tunahitaji bingwa mtetezi ndio tucheze nae,huyo Rivers hata mtuamshe usiku anakufa goal za kutosha
Maneno yange kua ndio ushindi ingekua mnafika fainali kila mwaka. Hivi round hii mtasema the nini.?? (Slogan) ila mm napendekeza mseme "wapita njia tena" hii ita wapendeza😎😎😎
 
mpaka hapo mayang chali
 
Mbumbumbu fc chagueni timu yoyote mnayoina Kali muwaandikie Caf Ili ipangwe kucheza na Yanga muone soka linavyo tandikwa.
Katawaze ulale, shemeji yako anataka kuingia kulala.
Usione vyaelea, vimeundwa. Unafikiri mchezo mchezo, rahisi rahisi eeee!!!
 
Kwasababu preliminary round hakuna timu itakayotusumbua kabisa na ndio maana tunahitaji CAF wavunje kanuni zao watuletee hao mabingwa watetezi huku preliminary round ili tuwavue ubingwa wao mapema kabisa

Usichoelewa hapo nini?
Sikia huyu!!! Manara hakukosea kabisaaaa. Jifurahishe tu.
 
Hapo tuombe wapangiwe Asec ...watobozwe utooo
 
Baba Jeni bai bai
 
Watamalizwa na Mayele. Hivi mnamjua Mayele vizuri nyie?
 
Wale Rivers walio okolewa na kuchelewa kwa ITC za akina Bangala,Mayele na Aucho?
 
Hii ni moja Kati ya propaganda chafu za watu wa simba kwamba eti was hawaanziii preliminary matokeo yake wote tumeanzia chekechea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…