Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Sokoine jeWaku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Naungana na wewe kwa diamonds hapa cjui ana ushawishi kwa nani labda kigoma alikotoka lkn kwa jamii hana mchango wowote.Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Kuna watu umewataja kwa umaarufu hapo sio ushawishi,Hao wawili wa mwishoWaku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Kanumba alikuwa ana ushawishi gani?Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Huyo Diamond platnum, ana mchango gani katika wa ustawi wa kijamii?Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu..
~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip)
~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip)
~ Tundu Antipas Lissu
~ Steve Kanumba.(Rip)
~ Diamond platnum
Kwenye pic ndo wapi?Umaarufu na ushawishi wa Lissu haujamfikia hata Dr Slaa kipindi chake akiwa kwenye pic, hao wawili wa chini sijui hata umetumia vigezo gani au wewe ni Gen Z
Peak. (Kilele cha mafanikio yake) Nimeandika nikiwa usingiziniKwenye pic ndo wapi?