Pambana na hali yako kwanza ndo utauelewa huo wimboLeo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
2M viewerssss!!!!!Maadui wa dai so wanampaisha ali kinafiki wakidhani wataweza kumshusha dai
So akisifiwa domo sawa wengne wanapaishwa hahahaa mtakufa mmenuna this yearMaadui wa dai so wanampaisha ali kinafiki wakidhani wataweza kumshusha dai
Huo wimbo pumba tu ,tatizo wa tz wanafiki sana.Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya wimbo wake wa Seduce me, Mimi binafsi bado sijajua kwa nini watu wachanganyikiwe na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake pale unapousikiliza? Kwa nini clouds wasimamishe mambo waliyopanga kuongelea kwa siku hiyo mpaka wamuongelee Kiba na huu wimbo ambao sijaona hata maudhui yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
So akisifiwa domo sawa wengne wanapaishwa hahahaa mtakufa mmenuna this year
Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
2M viewerssss!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app