Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji350] [emoji350] [emoji350]

2M viewerssss!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
 
Mtatunga sana story mwaka huu.

Sedyuzika tu maana no way out.
 
Acha wivu mtoto wa kiume! Kwa nini wasisapoti vya kwetu?
 
Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unajua wewe ni mtoto sana wenzio wakipenda kitu hata kama hukipend ni laZima nao wakichukie?ndo maana hakuna kitu kinachoweza kupendwa au kuchukiwa na watu wote na kama hukukipenda kaa kimya unalalamika nini nashangaa mtu unalalamika kama hauna ishu ya maana ya kufanya
 
Angepost mondi hiyo miuno ungefurahiii!
Mnune tu at yo own risk.
#seduceme#
 
Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sana my dear unanikumbusha mbaali sana mpenzi wanguuu..!!!

Yaani always wao wanataka apande mmoja tu!
Hawajui kua Mungu ana wakati wakee

Wako hooooiii!
Hawajui power of people!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…