Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego HUO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?