Na ni kwasababu hii hatuwezi kuendelea yamkini hadi Yesu atakaporudiDunia haiko fair kabisa, eti mtu aliyesoma special school Illboru sec anawekwa lupango na mtu aliyepata zero form four!!.
Cha ajabu ni kuwa, wamepigwa upofu wa fikra na ufahamu kiasi kwamba, wamempa proceedings zote za committal court Kisutu zikiwa na nyaraka za mashahidi wote hao wa siri na utambulisho wao kamili: Majina yao, anuani zao, kazi zao nk😀😀wao walijikita kumutesa kwa maahirisho na mashahidi wa siri. imekula kwao
😂😂😂😂😂Dunia haiko fair kabisa, eti mtu aliyesoma special school Illboru sec anawekwa lupango na mtu aliyepata zero form four!!.
mdau unawaza mbali.yan wewe kwnye hesab za statistics tunakuita outlier. wenzako wanaenda kwa means ya 2. wewe mzee 100. yan totaly differentMimi wasiwasi wangu uko kwenye makaratasi wanayompa tu akiwa mahakamani. Yanakaguliwa na nani?
Mbumbumbu fc aka misukule wakiona hii comments wanapagawa kama mazombie!!Lissu akili kubwa
Slip of a pen vs slip of printer pages🤣🤣Washtukeje majitu hayasomi?yenyewe yakimaliza siku mahakamani yanakimbilia baa,mwenzao anakimbilia library,huoni tofauti hapo
Ndio maana wanaulizwa tofauti ya page 16 na 101 yanasema 'slip of pen'
Slip of pen page zote hizo,labda slip of printer
😀😀Slip of a pen vs slip of printer pages🤣🤣
Hivi unafikiri hao mawakili wa srikali hawana akili zao timamu au hawajui kwamba hiyo kesi ni ya kutengenezwa ?Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego HUO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?