Hawa jamaa waliingizwaje choo Cha kike na Tundu Lissu, ili akawavue nguo?

Wasu
Lissu atatusaidia sana sana watanganyika kwa tulipofikia, maana tumenasa katika matope. Tunahitaji Rais ambaye ni mwerevu- kuwa na Rais Mbumbumbu ni hatari maana wajinga wakimzunguka Taifa linakwisha yaani linatembea kama hakina nguo.
Wasukuma Wana msemo wao unasema, Nigo gochilu gugashililaga hamabege, yaani mzigo wa mjinga huishia mabegani, na kwenye taifa ni hivyo hivyo tu, Rais mjinga rasilimali za taifa lake zitaishia mikononi mwa waindulu.
 
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?

Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?

Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego UO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?
MTU huwezi kushtakiwa mara mbili kwa kosa hilo hilo
 
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?

Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?

Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego UO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?
mjuba ishu hapa ni kumuachia tu aendelee na siasa zake, hana madhara kwa taifa, akiachiwa na kukamatwa tena huo utakuwa ni mchezo wa tommy and jerry, Lissu hawezekani yule mwamba
 
Kumuachia na kumkamata tena haitakuwa Double Jeopardy?

Au kumuachia kwa Nolle Prosequi ukimshitaki tena hakuna Double Jeopardy?

Does relitigating after nolle prosequi constitute a double jeopardy?

I remember reading that it doesn't.

I am not sure about the Tanzanian laws though.
Double jeopardy does not apply if the case is ended without being decided on its merits. Unless dismissed with prejudice, the case can be refiled and adjudicated as usual.
 
Washtukeje majitu hayasomi?yenyewe yakimaliza siku mahakamani yanakimbilia baa,mwenzao anakimbilia library,huoni tofauti hapo

Ndio maana wanaulizwa tofauti ya page 16 na 101 yanasema 'slip of pen'
Slip of pen page zote hizo,labda slip of printer
😹😹😹 Nimecheka sana..!!
 
Double jeopardy does not apply if the case is ended without being decided on its merits. Unless dismissed with prejudice, the case can be refiled and adjudicated as usual.
Sawa.

That is what I remember.

Sasa hapo kuna namna nyingine ya ku re file hiyo kesi ianze vizuri bila Nolle Prosequi? Naona kama kufanya Nolle Prosequi halafu kuanzisha kesi upya itakuwa kitu kikubwa sana kitakacho confuse raia waone kama kimsingi ni Double Jorpardy by other technicality.

Mahakama haiwezi ku rule kwamba commital haikufanyika vizuri irudiwe?

Au kuifuta kesi kabisa na kesi mpya kama inahitajika ifunguliwe upya Mbinga?
 
Kama deficiencies za committal proceedings ni fatal, mahakama haiwezi kutoa order kwamba committal irudiwe. Inaweza kutoa dismissal order. Ni juu ya DPP then kuamua whether kuifungua hiyo case upya au kuachana nayo jumla.
 
Washtukeje majitu hayasomi?yenyewe yakimaliza siku mahakamani yanakimbilia baa,mwenzao anakimbilia library,huoni tofauti hapo

Ndio maana wanaulizwa tofauti ya page 16 na 101 yanasema 'slip of pen'
Slip of pen page zote hizo,labda slip of printer
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom