Serikalini hama a mwenye akili..miezi yote hiyo hawakushitukaMimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike. Namna hii?
Hivi WAJUA Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu paspo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya mbinga court?
Je Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo yakaenda na mtego UO?
Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi iANZE upya je Ili Lissu atalikwepaje?
Who knows with these thugs? Maybe they did it on purpose to create an opportunity to restart the game so he can be detained until after the election. I am sure they know he committed no prosecutable treasonous act!He lured them into a trap. Aliwahimiza wampeleke mahakani while concealing his intentions. Ni kama vile unavompa mchele kuku ili umkamate, na haya mazuzu yakanasa. In the 48 laws of power hii ndo tunaita conceal your intentions in a velvet glove, never let your enemy know your next move.
If the case is dismissed with prejudice then hawawezi kumkamata tena, though this is unlikely to be in his favor. Time will tell.
Kumuachia na kumkamata tena haitakuwa Double Jeopardy?Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego UO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?
Mwendelezo wa sinema mkuuMimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego UO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?
Ha ha ha ha ha ha ha ha....Washtukeje majitu hayasomi?yenyewe yakimaliza siku mahakamani yanakimbilia baa,mwenzao anakimbilia library,huoni tofauti hapo
Ndio maana wanaulizwa tofauti ya page 16 na 101 yanasema 'slip of pen'
Slip of pen page zote hizo,labda slip of printer
Mimi nawashangaa nyie Lissu mme mjua leo au mlikuaga hamfuatilii Bungeni toka Lissu ameingia Bungeni mara ya kwanza kiufupi hawa vijana mawakili wa serikali bado wadogo sana kisheria sio saizi ya Lissu jaribu kufuatilia mambo mtu amekua wakili wa mahakama kuu miaka zaidi ya 25 Bungeni pale amewakaba sana koo ma AG kibao wamestaafishwa na Lissu R.I.P Jaji Werema Aliwahi kumkaba mwalimu wake wa Sheria Bungeni Mwakyembe nenda You tube andika Lissu vs Mwakyembe mpaka alikana kitabu chake alichokiandika mwenyewe. Inawezekana waliosoma sheria wengi Sana Tanzania hii ila tunaojua sheria ni Mimi na Tundu Lissu by Chenge. Lissu ana mapungufu yake kama binadamu ila linapokuja suala la sheria ni mtu mwingine kabisa Aliwahi kusema kuna Majaji wanateuliwa lakini hawana vigezo vya kua Majaji na akaweka vigezo vya mtu kua Jaji kipindi cha JK nafikiri. Lissu ni mwanasheria ni mwanasiasa Usisahau anaweza kusoma kifungu cha sheria pia akakijengea hoja black low dictionary kuna wengi nafikiri walikua hawakijui hiki kitabuMimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?
Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa Nini alifikishwa kisutu Badala ya Mbinga court? Je, Tundu Lissu alilijua Ili tangia mwanzo? Akaamua kuyapeleka kama mambuzi yaendayo mtoni jamani?
Hivi ilikuaje nayo wakaenda na mtego UO? Njia pekee ni kumwachia kwa kumfutia mashitaka na KUKAMATA tena kesi ianze upya je Ili Lissu atalikwepaje?
Nyoka ya Makengeza naye alimpigia saluti Tundu LissuMimi nawashangaa nyie Lissu mme mjua leo au mlikuaga hamfuatilii Bungeni toka Lissu ameingia Bungeni mara ya kwanza kiufupi hawa vijana mawakili wa serikali bado wadogo sana kisheria sio saizi ya Lissu jaribu kufuatilia mambo mtu amekua wakili wa mahakama kuu miaka zaidi ya 25 Bungeni pale amewakaba sana koo ma AG kibao wamestaafishwa na Lissu R.I.P Jaji Werema Aliwahi kumkaba mwalimu wake wa Sheria Bungeni Mwakyembe nenda You tube andika Lissu vs Mwakyembe mpaka alikana kitabu chake alichokiandika mwenyewe. Inawezekana waliosoma sheria wengi Sana Tanzania hii ila tunaojua sheria ni Mimi na Tundu Lissu by Chenge
Hivi Chenge yupo?Mimi nawashangaa nyie Lissu mme mjua leo au mlikuaga hamfuatilii Bungeni toka Lissu ameingia Bungeni mara ya kwanza kiufupi hawa vijana mawakili wa serikali bado wadogo sana kisheria sio saizi ya Lissu jaribu kufuatilia mambo mtu amekua wakili wa mahakama kuu miaka zaidi ya 25 Bungeni pale amewakaba sana koo ma AG kibao wamestaafishwa na Lissu R.I.P Jaji Werema Aliwahi kumkaba mwalimu wake wa Sheria Bungeni Mwakyembe nenda You tube andika Lissu vs Mwakyembe mpaka alikana kitabu chake alichokiandika mwenyewe. Inawezekana waliosoma sheria wengi Sana Tanzania hii ila tunaojua sheria ni Mimi na Tundu Lissu by Chenge. Lissu ana mapungufu yake kama binadamu ila linapokuja suala la sheria ni mtu mwingine kabisa Aliwahi kusema kuna Majaji wanateuliwa lakini hawana vigezo vya kua Majaji na akaweka vigezo vya mtu kua Jaji kipindi cha JK nafikiri. Lissu ni mwanasheria ni mwanasiasa Usisahau anaweza kusoma kifungu cha sheria pika akakijengea hoja black low dictionary kuna wengi nafikiri walikua hawakijui hiki kitabu
wao walijikita kumutesa kwa maahirisho na mashahidi wa siri. imekula kwaoSerikalini hama a mwenye akili..miezi yote hiyo hawakushituka
Kuna kipindi Bunge zima kuna AG pia msisahau na wanasheria wengine Lakin walibaki Lissu na Chenge bunge zima wanamsandia Spika Anna Makinda Bunge zima kimya ni Lissu na Chenge tuNyoka ya Makengeza naye alimpigia saluti Tundu Lissu
Yupo mzee wa Havard UniversityHivi Chenge yupo?
Case closedInawezekana waliosoma sheria wengi Sana Tanzania hii ila tunaojua sheria ni Mimi na Tundu Lissu by Chenge.
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii?