Hawa jamaa waliingizwaje choo Cha kike na Tundu Lissu, ili akawavue nguo?

Dunia haiko fair kabisa, eti mtu aliyesoma special school Illboru sec anawekwa lupango na mtu aliyepata zero form four!!.
Na ni kwasababu hii hatuwezi kuendelea yamkini hadi Yesu atakaporudi
 
Hadi hapo alipofika, Mungu yupo upande wake.
 
wao walijikita kumutesa kwa maahirisho na mashahidi wa siri. imekula kwao
Cha ajabu ni kuwa, wamepigwa upofu wa fikra na ufahamu kiasi kwamba, wamempa proceedings zote za committal court Kisutu zikiwa na nyaraka za mashahidi wote hao wa siri na utambulisho wao kamili: Majina yao, anuani zao, kazi zao nk๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nasoro Katuga ni wa kuchomwa moto kama yule mke wa Waziri Mkuu wa Nepal
 
Mimi wasiwasi wangu uko kwenye makaratasi wanayompa tu akiwa mahakamani. Yanakaguliwa na nani?
mdau unawaza mbali.yan wewe kwnye hesab za statistics tunakuita outlier. wenzako wanaenda kwa means ya 2. wewe mzee 100. yan totaly different
 
Washtukeje majitu hayasomi?yenyewe yakimaliza siku mahakamani yanakimbilia baa,mwenzao anakimbilia library,huoni tofauti hapo

Ndio maana wanaulizwa tofauti ya page 16 na 101 yanasema 'slip of pen'
Slip of pen page zote hizo,labda slip of printer
Slip of a pen vs slip of printer pages๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hivi unafikiri hao mawakili wa srikali hawana akili zao timamu au hawajui kwamba hiyo kesi ni ya kutengenezwa ?
Acha na kitu kinachoitwa kazi za maagizo mzee.
 
Halafu kirahisi tu rais wa mawakili wa serikali anakuja kutuambia wao ndio magwiji wa sheria.
Hata alipokua anazungumza alionekana hayuko comfortable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ