Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu.



Wengine: Lazarous Kambole randi 120,000 Leonardo Castro randi 180,000 Willard Katsande randi 200,000

Thamani ya timu yao kwa ujumla inakadiriwa kufikia randi bilioni moja.
 
Onyango akimwona anahisi tumbo la kuhara.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mshahara wa huyo jambaz ni mishahara ya wachezaj 25 wa Simba ,na mishahara ya wachezaj 40 ya utopolo, mudi aache masihara kabisa awekeze kwenye mpira kama kwel yupo serious .
Yaan watu hapo simba wanakula m5 kwa mwez wengine had 2m huo ni utan ,ifike wakat mchezaj wa kiwango cha chini hapo simba angalau alipwe 15m
 
Kimsingi ligi yetu bado ni ya ridhaa, haina sifa za kuwa ligi ya kulipwa. Hizo wanazopewa wachezaji ni posho tu siyo mishahara! Mwendo bado mrefu sana kujilinganisha na ligi kubwa!
 
Yanga wanaingiaje hapa kwenye mjadala wenu wa kit.henge.....
pambaneni kivyenu mjue mnachomoa vipi fimbo nne mlizopigwa
 
Kuwalipa mishahara ya aina hii iendane na mataji watakayoiletea Simba, sio kumwaga pesa bure na kuishia kuchukua VPL kila mwaka.
 
Mudi yuko kimaslahi hawezi lipa mshahara wa chini Mil 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…