rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kambole Simba walikuwa wanamtaka kama mbadala wa Okwi ila wakashindwa dauLile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu.
View attachment 1786823
Wengine: Lazarous Kambole randi 120,000 Leonardo Castro randi 180,000 Willard Katsande randi 200,000
Thamani ya timu yao kwa ujumla inakadiriwa kufikia randi bilioni moja.