Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

Mshahara wa huyo jambaz ni mishahara ya wachezaj 25 wa Simba ,na mishahara ya wachezaj 40 ya utopolo, mudi aache masihara kabisa awekeze kwenye mpira kama kwel yupo serious .
Yaan watu hapo simba wanakula m5 kwa mwez wengine had 2m huo ni utan ,ifike wakat mchezaj wa kiwango cha chini hapo simba angalau alipwe 15m
Huo mshahara wa 15M minimum walipwe wachezaji hawa wa sasa??
 
Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu.

View attachment 1786823

Wengine: Lazarous Kambole randi 120,000 Leonardo Castro randi 180,000 Willard Katsande randi 200,000

Thamani ya timu yao kwa ujumla inakadiriwa kufikia randi bilioni moja.
Mashabiki Oya Oya ( Ngumbaru ) wa Simba SC kwa Ukweli na Ufafanuzi huu unaohalalisha kule Kufungwa kwetu Kishalubela ( Kikatili ) juzi lazima watakuchukia tu na hata Kututukana.

Wengine tulitahadharisha tukapuuzwa.
 
Mshahara wa huyo jambaz ni mishahara ya wachezaj 25 wa Simba ,na mishahara ya wachezaj 40 ya utopolo, mudi aache masihara kabisa awekeze kwenye mpira kama kwel yupo serious .
Yaan watu hapo simba wanakula m5 kwa mwez wengine had 2m huo ni utan ,ifike wakat mchezaj wa kiwango cha chini hapo simba angalau alipwe 15m
Hawa wachezaji wa kibongo ukimpa 15M hakuna atakachokuofa huko uwanjani
 
Huyo Frank Ribery wao hana mbwembwe yeye ni kufunga tu bwege huyu,kanifanya jana nikasahau njia ya kueleka home.
Simba nguvu moja.
Pole sana mkuu, mechi ijayo tuliza matako nyumbani utakuja gongwa na gari.
 
Ujinga ni huu unapopata nafasi tumia chama ana tabia moja akose baadae aje afute makosa juzi alipata clear chance angalau ingetuludisha mchezoni akakosa kumbe mechi zile ukipata chance tumia sio rahisi kupata tena na atukupata tena sizani kama yule mserbia angetuacha nafasi ile
 
Vile wanasogelea lango la simba unaona kabisa tunaenda kupigwa lingne hatari sana samir nukovic Serbia
Yule Castro katupia la nne Columbia alafu tuliwataka mamelod uzur wote tuliongoza kundi ingekua balaa
Teh, hadi huoni mchezaji wa simba wa kufaa kuchezea Kaizer Chiefs
 
wenzio huku kwa mudi wanapewa bodaboda..
Halafu utaskia thithi thimba tutabeba caf
Kosa walilofanya hawa ni kuangalia mechi za mbali za fainali na nusu fainali kabla hawajavuka robo

Kosa lingine tff imeuwa kiwango cha ligi kiasi kwamba Top level team za nje lazima zivune ushindi

Viongozi wapo kiushabiki zaidi wa timu wanayopenda na kuangalia watanufaika vipi kipesa hawataki kupanga na kusimamia mipango ya maendeleo ya soka

Angalia timu ya taifa hata Comoros wametuzidi kwa kiwango
 
Mshahara wa huyo jambaz ni mishahara ya wachezaj 25 wa Simba ,na mishahara ya wachezaj 40 ya utopolo, mudi aache masihara kabisa awekeze kwenye mpira kama kwel yupo serious .
Yaan watu hapo simba wanakula m5 kwa mwez wengine had 2m huo ni utan ,ifike wakat mchezaj wa kiwango cha chini hapo simba angalau alipwe 15m
Wewe mbona hujawekeza, unafikiri kutafuta pesa mchezo. Kina Madrid, Barcelona, Man United, Bayern wamewekeza mabilioni kwa mabilioni lakini bado wanakula vipigo.
 
Mshahara wa huyo jambaz ni mishahara ya wachezaj 25 wa Simba ,na mishahara ya wachezaj 40 ya utopolo, mudi aache masihara kabisa awekeze kwenye mpira kama kwel yupo serious .
Yaan watu hapo simba wanakula m5 kwa mwez wengine had 2m huo ni utan ,ifike wakat mchezaj wa kiwango cha chini hapo simba angalau alipwe 15m
Tujaribu kujifunza biashara,uwekezaji unaenda sambamba na purchasing power ya nchi husika,uwekezaji unazingatia mahitaji ya soko.
nguvu ya watanzania kufanya manunuzi iko chini sana,wananchi wako hoi,kupata tu mlo wa siku ni changamoto,hivyo ni ngumu sana MO kufanya hayo mnayoyaitaji.

Tunaona watu wanaoingia uwanja wa taifa kwenye mechi za soka ni wachache sana,ukiondoa mechi ya derby angalau watu wanajaa uwanjani,sasa hizo gharama za kuendesha mradi mkubwa wa wachezaji hao utatoka wapi?!! Kumbuka hakuna mfanyabiashara anae taka kupata hasara.Wananchi wengi uwezo wa kununua vifaa vyenye nembo halisi ya club hawana,wanaishia kununua vitu feki vya bei za chini ambazo mara nyingi club haifaidiki chochote.
Mazingira ya viwanja vyetu sio rafiki kwa wachezaji wakubwa, mchezaji anaweza kupata injury kutokana na ubovu wa uwanja ikamuweka nje msimu mzima,inakuwa hasara kwa kubwa kwa club.
Tunampongeza MO kwa hiki anachofanya angalau kukusanya wachezaji wa kiwango cha kati- chini, wa ukanda wetu wa africa mashariki,taratibu jinsi nchi itakavyokuwa na uchumi imara na watu kuimarika kimapato,ndivyo sekta mbalimbali zitakuwa zinakua pia kwa kupata mapato mazuri na wadhamini wenye pesa nzuri.

Nchi za kiarabu zimefanikiwa kwasababu zina angalau Zina uchumi imara na watu wao Wana uchumi imara hivyo timu zinapata pesa hivyo zinakuwa na nguvu ya kushindana na kumudu wachezaji wazuri,hata South Africa wana uchumi angalau uko imara ndio maana unaona na timu zao zinamudu wachezaji wazuri.
 
Hahahaaaaaaaaaa

Tunawakeraaaaaaaaaaa
tunawaudhiiiiiii

FB_IMG_16214438530386752.jpg
 
Back
Top Bottom